Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,104
- 131,751
Tatizo kubwa nililonalo n ujobless tuu.Tena mwambie anaonekana ana tatizo kubwa
Mm n mlutheran, nasali kanisa la Lutheran hapa Manzese - DarIla nahisi atakuwa msabato Kwa hiyo roho
Tatizo kubwa nililonalo n ujobless tuu.Tena mwambie anaonekana ana tatizo kubwa
Mm n mlutheran, nasali kanisa la Lutheran hapa Manzese - DarIla nahisi atakuwa msabato Kwa hiyo roho
Mkuu mm naomba kazi, nna diploma in TV and film productionKwa taarifa yenu humu kuna maboss wenu na viongoz wenu tena wakubwa tuu nashangaa mnavo toa matusi humu
Safi , hivyo hivyo ilimradi kuna kitu kinaingia .Nakusalimu dalali mwenzangu, sasa hivi nimetanua wigo, sio nyumba na viwanja, sasa hivi nadalalia hadi vyombo vya moto.
Mule mule😀😀 kwa iyo wasabato wanaroho kama ya mbaga jr
Na ikawe kheri kakaMkuu mm naomba kazi, nna diploma in TV and film production
SawaNmesoma post zake ndiyo nikajua
Acha kujishusha kwa huyo mbwa.Mkuu mm naomba kazi, nna diploma in TV and film production
Kwa Taarifa ya nani mwalimu kasome ufanye usaili.Kwa taarifa yenu humu kuna maboss wenu na viongoz wenu tena wakubwa tuu nashangaa mnavo toa matusi humu
Wewe fala usitake mtu akuheshimu.Mwambie huyo dogo tatizo hawa vijana wanafikiri wanachat na watoto wenzao humu
Laiti wangejua humu kuna watu wakubwa kuna viongoz wao wangekuwa na nidhamu sana haya maisha bila kufahamiana na watu hutoboi hata kama ukipata ajira kuna mambo yako hayataenda kama huna nidhamu na kuheshimu watu
Mtu hamjuani unamtukana kumbe ni Boss wako
Sikuheshimu sasaKijana heshima ni kitu kizuri sana ukiheshimu watu nao watakuheshimu
Asante T pain kwa kuwa upande mmoja na mimi japo sisi tulikuwa maaduiwe nae kaoshe ****** ukalale utumishi utakua wewe pumbu nini![]()
Wewe umemaliza,kutishana tuila kuna watu wa ovyo humu hata kama ukiwa utumishi (psrs) ndo ujitangaze na kutisha watu, kwani jamani kinacho mpa mtu ajira ni nn juhudi zake binafsi( interview) au mkono wa mtu?, kimantiki harari najua ni juhudi za mtu, pia hata kama ni connection huwa haziji kivi kama ninavyo ona msg za watu humu, jikubali na jiamini ipo siku kila mtu atamuona kwa mkono wa Mungu
Acheni kuwaogopa hao viazi wanaojifanya wanatoa misaada.Ma jobless mmeanza kutukana ndio maana hata hizi ajira zimechelewa
Asante kaka HAKI ZOTE ZIMWIFADHIWAila kuna watu wa ovyo humu hata kama ukiwa utumishi (psrs) ndo ujitangaze na kutisha watu, kwani jamani kinacho mpa mtu ajira ni nn juhudi zake binafsi( interview) au mkono wa mtu?, kimantiki harari najua ni juhudi za mtu, pia hata kama ni connection huwa haziji kivi kama ninavyo ona msg za watu humu, jikubali na jiamini ipo siku kila mtu atamuona kwa mkono wa Mungu
Sekretarieti ya ajira wasipo tenda haki watakua wameyakanyaga maana majobless hadi neno la Mungu wanalijuaAcheni kuwaogopa hao viazi wanaojifanya wanatoa misaada.
Msaada uko katika bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na amfanyae kinga yake.
Zab 23 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Wafilipi 4;13.Naweza kufanya mambo yote katika yeye anipaye nguvu
Zab 56;11
Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?
Ni kweli mkuu unachokisema lkn waongezee nguvu kazi wapo slow sana sijui kama wao ni ng'ombe wa nyuma. Sasa hivi sio kuchelewa kuita watu job bali ni hata kuita watu interview pia. Waongezewe nguvu kama ni chombo kinaweza handle graduants wote nchi nzima watumishi wawe wengi na wapunguze urasimu piaPsrs ndo sehemu pekee ambayo kunakua na uwazi kwa asilimia kubwa sana katika mchakato wake wa ajira.
Kuna siku BOT walitoa post ya kada yangu niliomba ili sizani hata kama ile barua yangu ilisomwa.
Ila uku psrs ww ukifuata maelekezo yao tu una 99.9%ya kuitwa mengine ukayapambanie mwenyewe.
Mimi kuna watu wengi sana wamepata ajira kupitia psrsbila kufaamiana na mtu yeyotee. Ila vip uko kwenye masekta mengine wanao ajili wenyewe??
Mimi bado naona kuna namna psrs wanakutana na lawama zetu sisi ma jobless ila wao sio wa kulaumiwa.
PSRS huwa wanaajiri wanachukua kutoka database.kuna mtu kafariki lakini utashangaa nafasi haitangazwi