zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Changamoto ya Utumishi ni mafungu ya pesa yanatoka kwa kuchelewa katika kusimamia sail......Mara mia waziachie taasisi mbona bunge wameenda vizuri sana chap chap au ndio kazi kuu ya serikali ni urasimu
Ninavyosikia za chinichini wote waliokuwa wanafanya kazi kwa mkataba kwenye Taasisi wamepewa ajira za kudumu.....
Huku Database wameikalia tu Utumishi sijui lengo lao nini