Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwenye ufahamu wapi pa kupitia kwenye written interview nafasi ya MKUFUNZI II (Community Development Officer), ministry of education science and technology.
 
Mwenye ufahamu wapi pa kupitia kwenye written interview nafasi ya MKUFUNZI II (Community Development Officer), ministry of education science and technology.
Ruka na module basically zinazohusika na Cdo's.
Pitapita kwa dharura module the teaching & learning mothodologies. Coz unatafuta nafasi ya kufindisha.
 
Back
Top Bottom