Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI

Sent from my Infinix X6816 using

Mbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anatania wakati anasema hivyo...😆😆😆😆...
Jobless tunapita vipindi vigumu sanaaa...
Mungu atutetee ....
 
Nadhani kila jambo ambalo serikali inapanga wanakuwa katika majaribio na kuna Changamoto wanaona na wanakuwa wanatafta namna ya kuzirekebisha.
Mfano kada zote za jana utakuta zina coordination ngumu ya kusimamia usaili vituo vya mkoani tofauti na kuwaita watu wote Dodoma. Kwa upande wangu naona ni Changamoto za kawaida tu ambaye ameitwa ajitahd afike. Narudia ule usemi wa ikiwa unaona elim ni gharama jaribu ujinga.
Mapambano Mpaka unakula kodi wanayolipa wenzako sio jambo rahisi.
Tupambane kufika Dodoma wakuuu
 
Kweli...
Mtaftaji hachoki, akichoka kapata
 
Kuna mtu niliwahi kukutana nae tumeenda kuchukua barua ya placement walimkatalia kumpa barua licha ya kuwa na barua ya serikali ya mtaa pamoja namba NIDA walimwambia aende akalete kiapo kinachoonesha hiyo namba NIDA ipo sahihi jina lake
usahili barua inakubalika ya serikali za mtaa ila kwenye kuchukua barua pale asha rozi migiro ya placement barua haikubaliki so usimchanganye huyo anataka usahil
 
Back
Top Bottom