Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,237
- 5,698
Aandae zile pdf nene za page kumi kumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee ango'e koki kbsaa tulambe asali kotaa sio poaaa kbsa
Aandae zile pdf nene za page kumi kumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee ango'e koki kbsaa tulambe asali kotaa sio poaaa kbsa
Akiweza ata page 50 atoe tu jobles tulambe asaliAandae zile pdf nene za page kumi kumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia wewe tukupake Parachute sio unapayukapayuka tu humu soma title pale juuWewe ni ***** we mtoto wewe , una nifahamu mpaka uandike huo ufala ulioandika ? , Jiangalie ,utakuja potea .
Chunga adabu yako , au mtu akiandika kwamba ni jobless unadhani lazima mpaka awe anakaa na kulishwa na wazazi wake .
Ninyi ndio mnaopakwa mafuta na kupakatwa kwa kimbelembele na tabia ya kuleta Shobo kama machoko .
Fala wewe
Jamaa ni Mwislamu Safikesho sabato sjui kama tutachomoka maana naskia jamaa ni muadventista..
Next week ipi? Si usemeHujui next week mzee au hujaelwa nini hapo faza?
angetoa ijumaa 🤣 🤣Jamaa ni Mwislamu Safi
Wewe fala?Kuna wapuuzi ni mawakala wa kuharibu lengo la huu mjadala , let's focus .
Achaneni na huyo fala wala msimjibu chochote kuanzia sasa .
Atatoa Next week 😂angetoa ijumaa 🤣 🤣
Atatoa Next week 😂angetoa ijumaa 🤣 🤣
mmhh mwishowe atatoa tumeshastaafu..Atatoa Next week 😂
Nimekwambia ni Mwislamu Safi hawezi kufanya hivyommhh mwishowe atatoa tumeshastaafu..
Ilishabinafisishwa kitambo, japo serikali ina hisa za kueleweka.NMB mbona kama ni government iyo?
Mpk leo hajaenda kusain mikataba? Maana trh 28 wameitwa Dom,Nipe jibu kabla sijashauri.Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dog
Hajaenda ndio haya shauri sasaMpk leo hajaenda kusain mikataba? Maana trh 28 wameitwa Dom,Nipe jibu kabla sijashauri.
..........Mwambie dogo aende Wizarani huku private kuna pressure za ajabu sana!! na kufukuzana kazi nje nje.Kuna dogo alikuwa anapiga tempo/contract kama sales NMB wale wanaofungua account za nmb chapchap ila akala shavu hapo hapo NMB permanent kama bank officer bukoba huko ana miezi mitatu sasa ila jina lake limetokea kwenye pdf kama mchumi wizara ya mifugo na uvuvi...mpeni ushauri dogo