HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
IT anasema ni zam ya call for interview kwasasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huoni vimulimuli kama vyote upande huo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
PSRS htr sana
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
N/W Kikwete Bunge liloisha alikuwa anapima upepo kwenye vikao vyao na Taasis" Ninanukuu kauli yake aliyofunga kikao"Ajira ni ushindani"!!!Leo anatuacha mitaa 200 ......
Mungu awasimamie hata nafsi ya huruma iwaingie moyoni mwao zile ruti za Dodoma unaenda written na oral bado hofu hawana kabisa....
 
Attachments

  • Bunge.jpg
    Bunge.jpg
    72.7 KB · Views: 15
Hao wanafiti kwenye majeshi kama magereza, Jeshi la wananchi, Takukuru na uhamiaji. Hayo maeneo huwa hawapitii PSRS!! Kwanza barua wanataka uandike kwa mkono wako mwenyewe! na hakuna cha ku-apply online!!
Hivi hii degree ya health system management almaarufu kama Bachelor of health system in management fursa zake zinatangazwaga kweli?
 
Nyingine hizi hapa
1. Insurance and risk management-IFM
2. Archaeology-UDSM
3. Tax management- Ukikosa kazi TRA baba Jeni bye bye.
Sasa jamani tuelekezeni course ambazo kidogo mtu unaweza para received huko port tusijesoma vitu havina fursa kabisa
 
njaaa itaniua kitaa kikali sana ,nimepauka sio mchezo kwa stress.

Ashukuriwe MUNGU napenya hata kama ni kwa mbinde.

Tusikate ,tamaa .
Kweli mwamba asikwambie mtu kitaa pagumu mno, japo tumejishikiza private sector lakin kitaa anapafahamu vizur mwamba, kikubwa maombi yaendele ili nasi siku moja majina yatokee kwenye placement.
 
Back
Top Bottom