HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mmmh hiki kimya cha PSRS kinazidi kuwa kirefuu. Wakati huohuo wana orodha ndefu ya vijana wanaosubiri matokeo kwa muda mrefu.

IT achia hiyo PDF uliyoletetewa mapema sio lazima upost saa sita usiku.
Achia aysee vijana tunaisubiri.
Aisee naona hali ya before katibu kustaafu imerudi
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Dah hiyo ni njia ya kuwapenyeza watu wao kwa sbbu hizo mafasi za kujitolea zenyewe huezi kupata kirahisi kama huna unaemjua
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Hii nchi yetu aisee saa nyingine unatamani hata kuhama uhuni mwingi snaa aisee
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Watu wamejaa kitaa si waache ajira iwe ushindani hawa nao kero tupu
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Hyo ikishapitishwa watawekana kiujanja ujanja ndugu zangu watoto wa maskini sijui tuhame nchi
 
Kwa utafiti mdogo niliofanya inaonekana mwezi uliopita wa 8 umekua na placement nyingi kuliko miezi yote iliyopita mwaka huu hongera nyingi sana kwa waliopata nafasi hizo. hivyo labda foleni ni kubwa kule PSRS Dodoma, wadau wakiendelea kufuatilia barua zao za kazi nk.. ila muhimu DUA.
 
IT msiba ushaisha usitufanyie hivyo[emoji1787]
IT anasema ni zam ya call for interview kwasasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huoni vimulimuli kama vyote upande huo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom