mwanduruka
Senior Member
- Dec 28, 2022
- 115
- 161
Mbona wanaturusha roho namna hii lakn?? Anyway na haya nayo yatapitaFeki mkuu
Mbona wanaturusha roho namna hii lakn?? Anyway na haya nayo yatapitaFeki mkuu
Data base itakua ishaishaZile bandika bandua ulikuwa upepo wa kuelekea vikao vya bodi za taasis za serikali kule Arusha[emoji1787]
Watushushie pdf lefu la CDO's tulale kwa furahaZile bandika bandua ulikuwa upepo wa kuelekea vikao vya bodi za taasis za serikali kule Arusha[emoji1787]
Zile bandika bandua ulikuwa upepo wa kuelekea vikao vya bodi za taasis za serikali kule Arusha🤣
Labda wameenda Kizimkazi ngoja tuwavumilieZile bandika bandua ulikuwa upepo wa kuelekea vikao vya bodi za taasis za serikali kule Arusha🤣
Hilo pdf la taifa nami nalisubiria😃Watushushie pdf lefu la CDO's tulale kwa furaha
Usilipotezee ni la ukweli lipo kwenye website yaoKwahyo tangazo tulipotezee
Tupo wengi jmn nami nalisubiriHilo pdf la taifa nami nalisubiria[emoji2]
Au IT ndio ana upload mzigo!!Wazee web ya utumishi nzito balaaa😳
Sio TAA tu mpaka na Halmashauri nmeona zimeanza... Watoto wa Masikini kazi tunayoNaona TAA wameanza kuajili wao wenyewe, watoto wa masikini tutakoma tembelea page ya mabumbe uone tangazo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hilo tangazo nilakweli lipo kwenye website yao mkuu nenda kacheck vizurHakuna uhitaji wa kiasi hicho mzee, tangazo lao harisi ni la transfer vacancy
Hilo nahisi wahuni wame edit tu
Ngoja IT afanye yake dakika hizi za majeruhi mtu alale akiwa ameuvua ujoblessWazee web ya utumishi nzito balaaa😳
Kumekucha tena siku nyjngine ya matarajio ya jobless tuzidi kuomba mungu 🤲Itakuwa alikuwa anatest mitambo kwa ajili ya leo ngoja tuone leo.