HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mida ya pdf hii IT fanya kwelii.
Wadau wanatakiwa kulamba asali😜 kabla uzi haujafikisha page 2000. 💥💥💥
Naona kuko Kimya vipi IT kaenda Likizo ama wanaoenda kuchukua barua wanaweka Foleni pale Rose Migiro??
 
wakuu kwema, bdo hatujachomoka mtaani.
wenzetu mliofanikiwa kutoka private sector/NGOS na hatimaye kuingia serikalini hayo magepu mnayo yaacha ndio nayoyataka champs

Naombeni mnipe link,job adverts, na techiques za kuingia huko . kupitia hii email pekee: pamojatuinuanevijana@gmail.com;;

ile email nyingine naona inachangamoto, kitaa kikali tukisaidina kwa vitendo hopely wengi wetu tutafika.
fani mchumi wakuu,location dsm but popote kambi
 
No more selected for null or shortlisted
Mabadiliko ni selected for oral ukifaulu written au pract
Selected for practical
Selected for oral
Not selected for practical
Not selectes for oral
Shortlisted bado ikoo,kwa ambao wameitwa oral direct hawajafanya written
 
Sijajua mkuu mi nilikuwa natumia web baada ya oral wiki kupita ndo nikadownload app ndo nikakuta iko vile not selected for oral kwa red

App mama jeni bye bye nikaaga mashindano.
Tafuta RECEIVED nyingi kwa kadri inavyowezekana, japo kwa sasa call for interview naona zimetulia sana!! Usiage mashindano!!!
 
Sisi huku tunamtafuta IT, kumbe mwenzetu yupo kwenye orientation
🤣🤣🤣
Screenshot_20230829-072704.jpg
 
Back
Top Bottom