Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
Kwanini tusipambanie waanze kutoa majibu ya oral[emoji28][emoji28] haya yote yangeondoka kwa kutoa tokeo ya oral
Kwanini tusipambanie waanze kutoa majibu ya oral[emoji28][emoji28] haya yote yangeondoka kwa kutoa tokeo ya oral
Ahaa duh kweli naona hamna alieleta ushuhudaAkuleta ushuhuda
Wanakwambia yaani kuwe na neno "not selected" alafu unategemea uwepo kwenye pdf🤣🤣Haijawahi kutokea humu jf mtu aandikiwe not selected apate kazi.
Never ever
Hicho kitu hawatoweza kufanya mkuu, sojawahi kuona hata sekta binafsi😅😅 haya yote yangeondoka kwa kutoa tokeo ya oral
BalensiagaHaijawahi kutokea humu jf mtu aandikiwe not selected apate kazi.
Never ever
Hao sekta binafsi ukikosa wanaktumia email kwamba haukufanikiwaHicho kitu hawatoweza kufanya mkuu, sojawahi kuona hata sekta binafsi
Tunachozungumzia hapa sio matokeo as matokeo ya marks bali status itakayokujulisha either ulifanikiwa au hukufanikiwa simple like thatHicho kitu hawatoweza kufanya mkuu, sojawahi kuona hata sekta binafsi
Naomba uniquote hyo sehem nipate japo udambwi. Maana huu Uzi unatutia molali sana sisi majoblessHii mada ilishajadiliwa labda.mgeni tu.
Ukimaliza oral kwenye app inabadilika na inakuletea vitu vitatu.
Selected for oral
Selected for Null
Not selected for null
Not selected for oral
Jitahidi ufuatilie huu.mjadala ulishaisha humu
Watakwambia kwanini kwenye written uspo fikisha passmark, system isicheze ikakuandikia selected.Wataalam wa status watahoji hiyo "yaani system icheze kwake tu na sio kwa wengine?,😂😂
Kwa exprience yangu chache hayo mabadiliko yalikua yanatokea kipindi cha nyuma kwa sabbu app ilikua ina tatizo la kiufundi,now hakuna tena hayo mabadilikoNaomba uniquote hyo sehem nipate japo udambwi. Maana huu Uzi unatutia molali sana sisi majobless
Ngoja wizy atoke kwenye LINAC kisha atakuja kusoma hii🤣Kwa exprience yangu chache hayo mabadiliko yalikua yanatokea kipindi cha nyuma kwa sabbu app ilikua ina tatizo la kiufundi,now hakuna tena hayo mabadiliko
No more selected for null or shortlistedKwa exprience yangu chache hayo mabadiliko yalikua yanatokea kipindi cha nyuma kwa sabbu app ilikua ina tatizo la kiufundi,now hakuna tena hayo mabadiliko
ujumbe muhimu sana huu PSRS wauone na wauchukueeTunachozungumzia hapa sio matokeo as matokeo ya marks bali status itakayokujulisha either ulifanikiwa au hukufanikiwa simple like that
kuna mkeka unakuja toa shaka..Dah mwendo wa kitenge umerudi 🥱
😂😂😂😂hakuna tatizo la kiufundi mzee hivi kwanini hilo tatizo la kiufundi lisitokee hata ukiwa umefeli kwenye written ikuandikie selected for oral??haujiulizi tu kwanini ifeli huko baada ya oral???Kwa exprience yangu chache hayo mabadiliko yalikua yanatokea kipindi cha nyuma kwa sabbu app ilikua ina tatizo la kiufundi,now hakuna tena hayo mabadiliko
😂😂😂linac kama linac haya maisha mamaeee nakula upepo tuNgoja wizy atoke kwenye LINAC kisha atakuja kusoma hii🤣
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna tatizo la kiufundi mzee hivi kwanini hilo tatizo la kiufundi lisitokee hata ukiwa umefeli kwenye written ikuandikie selected for oral??haujiulizi tu kwanini ifeli huko baada ya oral???
Mara ya kwanza kuona Linac 2 pale nikaingia kwenye kile operator room mgonjwa anavyowekwa na inavyofanya kazi😂😂😂linac kama linac haya maisha mamaeee nakula upepo tu