HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Attachments

  • Screenshot_20230827-152624.jpg
    Screenshot_20230827-152624.jpg
    23.9 KB · Views: 11
Naombeni tumaini ndugu zangu
Nimekuwa nikiomba maombi ya kazi utumishi Kama mara 5 na zote siwi shortlisted kwa ajili written interview
Sasa nawaza au ata utumishi nao wanaangalia GPA yako ndo wakuite kwaajili ya interview
Mimi na gpa ya 3.3 civil engineer
Nawaza Hadi nakosa tumaini
1. Vyeti umecetify?
2. Barua unaisaini?
3. Account yako imeijaza imefifikia 70% na kuendelea?
4. Elimu yako inaendana na hiyo nafasi unayoomba
 
Kwan we kada gaani ?? Maana MDA & LGA wanaendelea kutoa KULINGANA nakada husika na kwa mafungu fungu ,,, wengine nazani wanaweza kuwa Bado hawajahitwa kabisa
Kama Electrical sijaona kabisa. Ila naona wanaendelea kuachilia matokeo taratibu sana. Leo hawajatoa kwa pengine kwa kuwa sio siku ya kazi. Ila jumatatu tutarajie watatoa tena.
 
Kama Electrical sijaona kabisa. Ila naona wanaendelea kuachilia matokeo taratibu sana. Leo hawajatoa kwa pengine kwa kuwa sio siku ya kazi. Ila jumatatu tutarajie watatoa tena.
Electrical wanatoa kidogo kidogo mpaka sasa kuna nafasi kama nne tayari wamepangiwa kazi
 
Usaili wa madere umeishia wapi?. Majina yalitoka ila siku moja kabla likatoka tangazo jipya la kuahirisha usaili hadi pale tutakapotangaziwa vinginevyo. Ni miezi minne sasa toka wasimamishe mchakato au wameajiri kimya kimya?
 
Back
Top Bottom