HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wengine tuna gundu tu. 2015/2016 nilipiga interview NECTA nilisafiri kutoka Mwanza kuja DSM. Nikapita written watu 6 tukachaguliwa oral. Kabla ya kwenda Oral ajira zikafutwa uhakiki wa watumishi hewa.
Nilivunjika moyo nikakaa benchi sikuomba tena hadi 2019 nikaomba tume ya madini TMAA. Hadi Leo status bado iko received. Nikaamua nikae benchi hadi 2022, nikaomba Open na Duce. Open nilichaguliwa written lakini tangazo nililiona siku mbili baada ya watu kufanya written. DUCE nao waliniita tena tangazo nilitumimiwa siku 2 kabla ya written nikazima moto nikapita oral January hadi Leo kimya. Nahisi na hizi zimefutwa.
GUNDU GUNDU PLUS
 
hatari.mtu kama huna stamina unaweza ukawa unazimia kila siku..
 
😥😥😥
 
pole sana mkuu tulikotoka ni mbali sanaa wiki inayoanza kesho sizan kama itaisha DUCE wanarelease majina.
 
Watu wengine tuna gundu tu. 2015/2016 nilipiga interview NECTA nilisafiri kutoka Mwanza kuja DSM. Nikapita written watu 6 tukachaguliwa oral. Kabla ya kwenda Oral ajira zikafutwa uhakiki wa watumishi hewa.
Nilivunjika moyo nikakaa benchi sikuomba tena hadi 2019 nikaomba tume ya madini TMAA. Hadi Leo status bado iko received. Nikaamua nikae benchi hadi 2022, nikaomba Open na Duce. Open nilichaguliwa written lakini tangazo nililiona siku mbili baada ya watu kufanya written. DUCE nao waliniita tena tangazo nilitumimiwa siku 2 kabla ya written nikazima moto nikapita oral January hadi Leo kimya. Nahisi na hizi zimefutwa.
GUNDU GUNDU PLUS
Uache kabisa kujisemea mwenyewe mambo ya gundu, vinginevyo utakuwa unajiloga mwenyewe!!. Wewe mwamini Mungu tu kuwa nafasi yako iliyo nzuri sana iko nyuma inakuja!! Usikate tamaa, fuatilia tovuti ya PSRS kila siku anghalau mara moja, na tembelea uzi huu kila siku. Ongeza received nyingi kwa kadri inavyowezekana!. Lazima kuna siku utatoboa tu!!
 
Dah po
Watu wengine tuna gundu tu. 2015/2016 nilipiga interview NECTA nilisafiri kutoka Mwanza kuja DSM. Nikapita written watu 6 tukachaguliwa oral. Kabla ya kwenda Oral ajira zikafutwa uhakiki wa watumishi hewa.
Nilivunjika moyo nikakaa benchi sikuomba tena hadi 2019 nikaomba tume ya madini TMAA. Hadi Leo status bado iko received. Nikaamua nikae benchi hadi 2022, nikaomba Open na Duce. Open nilichaguliwa written lakini tangazo nililiona siku mbili baada ya watu kufanya written. DUCE nao waliniita tena tangazo nilitumimiwa siku 2 kabla ya written nikazima moto nikapita oral January hadi Leo kimya. Nahisi na hizi zimefutwa.
GUNDU GUNDU PLUS
Daha pole sana mkuu....inasikitisha lakn usife moyo endelea kupambana utapata t kk
 
Watu wengine tuna gundu tu. 2015/2016 nilipiga interview NECTA nilisafiri kutoka Mwanza kuja DSM. Nikapita written watu 6 tukachaguliwa oral. Kabla ya kwenda Oral ajira zikafutwa uhakiki wa watumishi hewa.
Nilivunjika moyo nikakaa benchi sikuomba tena hadi 2019 nikaomba tume ya madini TMAA. Hadi Leo status bado iko received. Nikaamua nikae benchi hadi 2022, nikaomba Open na Duce. Open nilichaguliwa written lakini tangazo nililiona siku mbili baada ya watu kufanya written. DUCE nao waliniita tena tangazo nilitumimiwa siku 2 kabla ya written nikazima moto nikapita oral January hadi Leo kimya. Nahisi na hizi zimefutwa.
GUNDU GUNDU PLUS
Mwamba kwa changamoto zote hizo umezopitia wala usife moyo naiona neema ikikushukia hivi karibuni.
 
Watu wengine tuna gundu tu. 2015/2016 nilipiga interview NECTA nilisafiri kutoka Mwanza kuja DSM. Nikapita written watu 6 tukachaguliwa oral. Kabla ya kwenda Oral ajira zikafutwa uhakiki wa watumishi hewa.
Nilivunjika moyo nikakaa benchi sikuomba tena hadi 2019 nikaomba tume ya madini TMAA. Hadi Leo status bado iko received. Nikaamua nikae benchi hadi 2022, nikaomba Open na Duce. Open nilichaguliwa written lakini tangazo nililiona siku mbili baada ya watu kufanya written. DUCE nao waliniita tena tangazo nilitumimiwa siku 2 kabla ya written nikazima moto nikapita oral January hadi Leo kimya. Nahisi na hizi zimefutwa.
GUNDU GUNDU PLUS

Kaka 2015/2016 na TMAA hayaku kukuta peke yako nawajua watu wengi sana waliumia lakini tunavyoongea wako kwenye ajira nzuri tena wana miaka ya kutosha kazini.

Kuhusu DUCE na Open, mbona ni wazi changamoto ilikuwa kwenye ufuatiliaji wako wa mrejesho.

Najaribu kusema, suala sio kuwa na gundu bali ni muda wako haukuwa umefika, usichoke wala kukata tamaa.
 
Kuna siku hapq mtu Mmoja alitoa Naomba maelekezo ya status za Akaunti za AJIRA PORTAL nometafuta hhuo uzi sioni kitu basi mwenye status naomba aisaidie anisaidie.
Hahahaha one man down kwenye app ikiwa not selected for oral ujue mama jeni bye bye ikiwa selected for oral ujue Kuna tumaini fuatilia PDF.
 
Back
Top Bottom