zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Kama umetoka kwenye oral mpk watu wanaitwa kazini hawajakupa matokeo yako unaona upo sahii kuamin unachopewa pale ..Kuna mdau alisema ukiwaomba wanakupa matokeo
Cha msingi unazidi kumuomba Mungu neema ishuke jina liwepo......