HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu nahitaji kujua location ya ofisi ya psrs dodoma Kwa ajili ya oral interview,maana kwenye Google map,naona ofisi zipo mbili moja ipo udom karibu na college ya cbsl na nyingine ipo karibu na mlimwa primary school
Ya kwanza ipo sahihi ukifika ndani utauliza wenyeji wa mule. kwan umeambiwa ni majengo ya asha rose mgilo ?
 
Nilijua tu Sam mirror lazima atokee yani suala la status sam mirror kwake halina mantiki kabisa
Cha ajabu kila anayeleta ushuhuda anamuuliza kuhusu status. Kama haina maana si angetulia asubiri mkeka hicho kimuhemuhe kinaonyesha hata yeye ana mashaka na hiyo not selected yake. Kusema status haina maana ni sawa na wale wanaosema pesa haiwezi kununua furaha
 
Mabuyu ya Asali yanamwagika hadi sio poa. Ni mwendo wa kuangalia umeangukia kwenye buyu lipi.

Hongereni sana, na wale ambao bado, msife moyo, kulala jobless na kuamkia kwenye buyu la Asali imekuwa kawaida kwa siku za hivi karibuni.
 
Amsha amsha zao tumezimiss sna umu ndani kwa taasisi ziajiri zenyewe au Psrs waendelee na mchakato
PSRs bdo habari ya mjini.... maawala ya Taasisi ziajiri zwnyewe watoto wa masikini tutabaki tukilia kila kukicha Psrs inachungulia mpaka watoto Yatima masikini, wote waluotengwa vilema hadi vipofu....psrs ni sauti ya Watu
 
Mabuyu ya Asali yanamwagika hadi sio poa. Ni mwendo wa kuangalia umeangukia kwenye buyu lipi.

Hongereni sana, na wale ambao bado, msife moyo, kulala jobless na kuamkia kwenye buyu la Asali imekuwa kawaida kwa siku za hivi karibuni.
Hivi mkongwe mwifwa hii bandika bandua ushawahi kuishuhudia huko nyuma au IT wa sasa ni 🔥
 
Back
Top Bottom