den texas
Senior Member
- Dec 25, 2019
- 197
- 654
mmh ya kwel haya? PDF wametoa TRA wenyewe ama utumish?asante kaka lakini kuna watu wameitwa mwezi ulopita au hujapata taarifa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
mmh ya kwel haya? PDF wametoa TRA wenyewe ama utumish?asante kaka lakini kuna watu wameitwa mwezi ulopita au hujapata taarifa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Kwani jina la account ambayo utajaza kwa ajili ya kutumia kupokelea mshahara kama umeenda kureport linatakiwa liwe exactly na la kwenye vyeti vyako au ?Naomba kukurekebisha kidogo afisa
Shida inakuja iwapo iyo J imeandikwa John kwenye kitambulisho then kwenye system ionekane Joni
I mean kama kutakuwa na utofauti wa herufi kwenye kuandika kirefu cha ilo jina ila kama vinafanana kila kitu ili wala siyo tatizo kabisa.
Account ya bank haihusuani na majina ya taaluma unaweza weka account hata yenye jina la manzi yako na salary inatoka kama kawaida mzeeKwani jina la account ambayo utajaza kwa ajili ya kutumia kupokelea mshahara kama umeenda kureport linatakiwa liwe exactly na la kwenye vyeti vyako au ?
Nipeni majibu wataalamu Mwifwa na wengine
TARATIBU ZOTE NI ZIPI IZO???Mi mwenyewe taasisi niliyopata siku niliyoriport nilikamilisha taratibu zote ndani ya masaa matatu, na siku hiyo hiyo nikaambiwa niandike barua ya kuomba Hela ya kujikimu, kesho yake nikaambiwa nianze kazi. Process za kufanya confirmation Necta ziliendelea nikiwa kazin. Baada ya siku tatu nikapata hela ya kujikimu. Kwakifupi hakukua na usumbufu wowote
DUCEHivi inakuwaje taasisi x inafanyisha interview placement bado lkn lakini baada ya miezi kadhaa zinatangazwa kazi na watu wanaitwa interview za hapohapo taasisi x placement zinatoka zinatangazwa zingine mchakato unapita na placement zinatoma tena wakati huohuo placement za interview zilizotangulia bado zipo pending.
Hii vipi wazee au ndo watu wote wamekandwa??
Kama ni kweli Ili hizi ni tuhuma kubwa sana, nijuavyo mimi watu wa database majina utokea kwenye taasisi ambazo hazijaitisha usahili, au kama wameitisha usahili basi wanapangiwa kwenye nafasi za nyongeza mfano walihitajika watu wawili, wakipangia watu 3 hapo wadatabase akipata hakuna wasiwasi.Kama ni database wangekua wanatoa Pdf la database kama kipind cha Xavier
Sasa huoni doubt hapo Yan mfanye interview alaf yatoke majina ambayo siyo. Lazima tujiulize maswali na tupate walakini.
Database wanajumuisha na majina ya placement za waliofanya usahili. Asa kwa brela hapa Kuna ukakasi
Tutaaminije ni wa database?
Kanuni inasema kama database wapo wataalam wa Kada husika hamna haja ya kutangaza kazi au kufanyisha usahili
Wanataka kutuambia kwamba wote wamefaili siyoShida sio hiyo hapo waliitisha usahili brela alafu waliofanya usahili hamna hata mmoja aliyepata placement sasa hapo ni shida
Sipingani na database ni sawa ikitumika lakin kwa uzuri. Huwezi waits watu kufanya usahili alaf utoe placement asiwepo hata mmoja aliyefanya oral hii ina maana gani si Bora usitangaze hiyo kazi uchukue watu wa database
hata muhas walifanya hivihiv inakuwaje hii???DUCE
wanppigiwa simummh ya kwel haya? PDF wametoa TRA wenyewe ama utumish?
Muwe mnaangalia kila tangazo la kazi limehusisha walofanya interview tar ngapi kabla hamjalaumu angalia tangazo la kazi Limehusu walofanya interview tar ngapi na nyie mnaozungumzia walifanya usahili tar ngapi?Kama ni database wangekua wanatoa Pdf la database kama kipind cha Xavier
Sasa huoni doubt hapo Yan mfanye interview alaf yatoke majina ambayo siyo. Lazima tujiulize maswali na tupate walakini.
Database wanajumuisha na majina ya placement za waliofanya usahili. Asa kwa brela hapa Kuna ukakasi
Tutaaminije ni wa database?
Kanuni inasema kama database wapo wataalam wa Kada husika hamna haja ya kutangaza kazi au kufanyisha usahili
Nadhani walofanya usahili juzi bado angalia tangazo linasema walofanya usaili tar ngapi?Wanataka kutuambia kwamba wote wamefaili siyo
Mh?.....Kazi ipoasante kaka lakini kuna watu wameitwa mwezi ulopita au hujapata taarifa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Ukiwa unafungua Account ya Benki, nyaraka zinazohitajika ni pamoja na Cheti cha kuzaliwa(huwa kuna majina 3 kwenye hiki cheti na ndio yanayoandikwa kwenye account namba).Kwani jina la account ambayo utajaza kwa ajili ya kutumia kupokelea mshahara kama umeenda kureport linatakiwa liwe exactly na la kwenye vyeti vyako au ?
Nipeni majibu wataalamu Mwifwa na wengine
kaziniMh?.....Kazi ipo
wamepigiwa simu kwa ajili ya usail au kazani?
sio wa mwenzi wa tatu hao.....wanaripoti kazin
sasa hivi kitu juu ya kitu sio mpaka vimulimuli vizimeKuna PDF huko,IT wa Sasa ni 🔥🔥