Hakika vilio vyetu wameviskiaIla mwezi huu Utumish wamefanya vyema sana PDF zimepangana kiukwel waendeleee hivi hivi
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hakika vilio vyetu wameviskiaIla mwezi huu Utumish wamefanya vyema sana PDF zimepangana kiukwel waendeleee hivi hivi
Hilo ni ngumu kupata majibu yake kwa sababu jobless hawalioni wanaliona waliolamba asali, na waliolamba asali hawewawezi kulipambania kwa sababu hawaoni maslahi ya moja kwa moja na ni jambo lililopitwa na wakati kwao wakati huo.Kama kawa BARUA zinasoma mwezi wa SITA...ila PLACEMENT zimetoka JULY...😅😅😅😅😅😅
Hili jambo na lenyewe hatujawahi pata majibu yake hadi Leo....
Inategemea na mwajiriHabari zenu wakuu, kwa ambao walishapataga kazi kupitia utumishi hua inachukua muda gan mpka kupangiwa kituo chako cha kazi? After kuchukua barua na kuipeleka sehem husika inayoelekeza!
Ajira hiyo haina hela,Wewe ulifeli Mkuu,, Dogo wangu kapata hizi kazi ya Postal Clerk,,
Alicheck status Hadi siku mkeka unatoka kwa App iko "Selected for oral"
eGA Sasa hapo ndo penyewe brother, ofisa wa eGA mwenye CPA anaenza kazi analipwa mishahara ya wafanyakazi 4 wenye degree zile za miaka mitatuJamvi la jana hatujapata shuhuda humu, leo tena ngoja tuone kama tutapata hata mmoja wa kumpa pongezi.
Hata hivyo Hongereni sana mnaoendelea kuingia kundini, mkawe watumishi wema
BALENSIAGA ona watu wamelamba Asali eGA, uliisema sana Asali ya eGA ngoja vijana wakaishuhudie huko
Hii siyo kwelieGA Sasa hapo ndo penyewe brother, ofisa wa eGA mwenye CPA anaenza kazi analipwa mishahara ya wafanyakazi 4 wenye degree zile za miaka mitatu
Hahahaha sizitaki mbichi iziAjira hiyo haina hela,
Dogo kashakuwa na uhakika wa cheque no. Huyo mengine yatafataAjira hiyo haina hela,
Salary scale ya mtu mwenye degree ya accounting halmashauri ni 700k, salary scale ya CPA eGa ni zaidi ya 3.5+mHii siyo kweli
Yaani ukisikiliza madesa ya humu muda mwingine bila ya proofs unaweza kuchanganikiwa kama unafanya kaz HalmashaurieGA Sasa hapo ndo penyewe brother, ofisa wa eGA mwenye CPA anaenza kazi analipwa mishahara ya wafanyakazi 4 wenye degree zile za miaka mitatu
Hivi maafisa wa wizarani pia scale ni moja kma wanaopangiwa halmashauri?Salary scale ya mtu mwenye degree ya accounting halmashauri ni 700k, salary scale ya CPA eGa ni zaidi ya 3.5+m
Ndio ila Wizarani wana posho nyingi sana kwa sababu wa uwepo wa safari nyingi mnoHivi maafisa wa wizarani pia scale ni moja kma wanaopangiwa halmashauri?
Mm classmate wangu kapata ile PDF ya tareh 28 kupitia database maana placement zao zilishatoka mwaka jana. Ila nimeshangaa maana imepita mwaka na miezi 2 toka wamalize oral yao. Yani alibahatika kufaulu written 1 tu ndio hiyo imemtoa kanzidataHizi pdf mbili kuelekea mwisho wa mwezi wa nane hatujapata shuhuda hapa. Inaelekea wengi hawakuwa wadau kwenye huu uzi au? Shuhuda hutia sana moyo wanaoendelea kusubiri.
Dah kweli riziki ya mtu hailiwi kama ipo ipoo tuuMm classmate wangu kapata ile PDF ya tareh 28 kupitia database maana placement zao zilishatoka mwaka jana. Ila nimeshangaa maana imepita mwaka na miezi 2 toka wamalize oral yao. Yani alibahatika kufaulu written 1 tu ndio hiyo imemtoa kanzidata
Lazima maji tuite mma si tulikua tunapondea psrs ili taasisi ziajri zenyewe tukae kwa kutuliaaaYani natamani psrs wangesimamia zile kazi za TRA maana nawazia wanaofanya internship ndio watapata
muhimu sana hii mkuuHizi pdf mbili kuelekea mwisho wa mwezi wa nane hatujapata shuhuda hapa. Inaelekea wengi hawakuwa wadau kwenye huu uzi au? Shuhuda hutia sana moyo wanaoendelea kusubiri.
Yan competition kubwa hv borea psrs at least haki inapatikana though mchakato unachelewaLazima maji tuite mma si tulikua tunapondea psrs ili taasisi ziajri zenyewe tukae kwa kutuliaaa