Na tunaweza kushangaa ikawa imeisha ivo mpaka august😂😂😂😂
Afu mwaka jana mwezi wa 8 hawakutoa placement hata moja🤔
Afu mwaka jana mwezi wa 8 hawakutoa placement hata moja🤔
Mzigo unaweza dondoka kesho na jumamosi
Leo kama siku imesha hvii