HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Serikali imesema imepokea maoni ya wabunge kuhusu changamoto ya wingi wa waombaji wa ajira dhidi ya nafasi zilizotangazwa na inaifanyia kazi ili kuweza kupata ufumbuzi wa kudumu.

Ahadi hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati ambaye alitaka kufahamu kwanini Serikali isiangalie vigezo na kuepusha kuwaita waombaji wengi.

“Tunapotangaza matangazo matarajio yetu ni kwamba watajitokeza wengi ili waje kushindana kwa ajili ya kupata nafasi hizi,” amesema naibu waziri huku akisisitiza kwamba watakapokamilisha utaratibu mpya watatoa taarifa.

Aidha, akijibu swali la Mbunge Rashid Shangazi kuhusu wakazi wa vijijini kupata taarifa za ajira, Naibu waziri amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha kuwa matangazo yote ya ajira yanakwenda hadi ofisi za kata na vijiji ili kumwezesha kila Mtanzania kupata fursa ya kuomba nafasi hizo na kuleta ushindani wa haki.

Kwa upande wake Mbunge wa Liwale, Zuberi Chauka amehoji kuwa Serikali haioni haja sasa ya kuwapa posho wale wanaoitwa kwenye usaili jijini Dodoma ili waweze kujikimu muda wote watakaokuwepo huko.

Akijibu swali hilo, Naibu Waziri amesema hilo ni suala la kibajeti na kisera hivyo Serikali itakapokuwa imejenga uwezo italifanyia kazi lakini kwa sasa ni jambo gumu.

Ameongeza kuwa Serikali inaufanyia kazi mfumo mzima wa ajira ili kutatua changamoto zinazojitokeza.
 
Wabunge wanalalamika eti waombaji ni wengi!! Wanataka itafutwe namna ya kupunguza waombaji!! Kauli kama hizi zinalenga kuleta maumivu!! Waombaji lazima wawe wengi kwa sababu ajira zilisimama toka 2015!! Waombaji hawawezi kupungua labda WAPUNGUZWE kwa LAZIMA!! Itakuwa mbaya sana mtu kuomba ajira halafu asiitwe kwenye usaili japo ana sifa ili mradi tu waombaji wawe wachache!! Tunaomba wabunge wawape nafasi PSRS kufanya kazi yao!! Pamoja na changamoto zilizopo lazima tukubali kuwa PSRS imejitahidi sana kutenda haki. Mimi naunga mkono PSRS kuita wote wenye sifa wagombanie nafasi zilizopo hata kama nafasi ni chache na waombaji ni wengi!! Mtu akose mwenyewe lakini9 apewe nafasi ya kugombania!!

Vinginevyo tutarudi kule kule waombaji wengi kupigwa chini na kuitwa WATEULE wachache!! Kwa mfano watu wakianza kuitwa kwa kigezo cha GPA itasababisha rushwa sana huko vyuoni. GPA za kuchonga zitashamiri ili mtu awe na sifa ya kuitwa kwenye usaili!!
 
Habari Wakuu,

Tafadhali naomba ufafanunuzi wenu kwenye hili suala la viwango (scale) vya mishahara;

Hivi kwa mtu mwenye mshahara wa Tsh 1,800,000/= atapokea kiasi gani baada ya Makato ya PAYE, Mfuko wa Hifadhi (NSSF), deni la Bodi ya Mikopo pasipo kujumuisha Bima ya afya ?

Nitashukuru kwa ufafanuzi,

Asante.
 
Habari Wakuu,

Tafadhali naomba ufafanunuzi wenu kwenye hili suala la viwango (scale) vya mishahara;

Hivi kwa mtu mwenye mshahara wa Tsh 1,800,000/= atapokea kiasi gani baada ya makato ya PAYE, mfuko wa hifadhi (nssf), deni la bodi ya mlipo pasipo kujumuisha bima ya afya ?

Nitashukuru kwa ufafanuzi wenu.

Asante.
Loan bord 15% + makato mengine 15% hapo nimetoa makato ya bima ya afya ( unaweza toa 2 % kama usipojiunga na chama cha wafanyakazi ) = 31% ! 1,800,000 × 30% = 540,000. ! 1,800,000-540,000 =1,260,000

welcome for point of collection
 
Welcome for correction.
 
Na ndugu yangu yuko wizara X mshahara ni huo TGS D ila ila kila mwezi anapewa 900k kama additional so ukijumlisha na ka TGS D kako unakua na 1.5m.
Muulize vizuri hiyo 900k anapataje, kakudanganya. Posho na vihela vipo plus wizi ila hakuna kitu inaitwa additional payment inayozidi mshahara.
 
Loan bord 15% + makato mengine 15% hapo nimetoa makato ya bima ya afya ( unaweza toa 2 % kama usipojiunga na chama cha wafanyakazi ) = 31% ! 1,800,000 × 30% = 540,000. ! 1,800,000-540,000 =1,260,000

welcome for point of collection

Kwa huo mshahara PAYE ni 18%, HESLB 15%, NHIF 3%, ambayo jumla ni almost 36%
 
Muulize vizuri hiyo 900k anapataje, kakudanganya. Posho na vihela vipo plus wizi ila hakuna kitu inaitwa additional payment inayozidi mshahara.

Posho ya kufanya kazi kwa muda wa ziada ni elfu 60. Ukifanya wiki tatu ni siku 15 ambayo ni sawa na 900k. That is very possible

Kwa hiyo chances ni kua huyo jamaa analipwa OT 900k kila mwezi which is very likely hasa kama hana kazi nyingi nje ya ofisi
 
Back
Top Bottom