HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Makato ya kisheria hayana hiari!! Hata kama una mume/mke anayechangia NHIF, utalazimika pia kuchangia!!. Logic yake ni kwamba unachokatwa wewe siyo lazima ukitumie wewe, kitasaidia kutunisha mfuko wa NHIF ili uweze kuhudumia wateja wake vizuri!! NHIF iko kwenye kundi la makato ya kisheria, kama jinsi ilivyo hifadhi ya kijamii. Ila makato ya chama cha wafanyakazi ni hiari!!
Vizurii, hivi kumbe vyma vya wafanyakazi ni hiari?
Na je wanaweza kukuunga wenyewe bila kujaza chochote?
 
Vizurii, hivi kumbe vyma vya wafanyakazi ni hiari?
Na je wanaweza kukuunga wenyewe bila kujaza chochote?
Sheria hairuhusu kukuunga wenyewe japo waajiri wengine (kwa kumtumia HR) hurubuniwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa kuwapa "kitu kikubwa" na kuwakata wafanyakazi bila ridhaa yao. Ikikutokea hivyo nashauri mtafute wakili wa kujitegemea na mwombe akuandikie barua ya kisheria ya kusimamisha makato hayo yaliyofanyika bila ridhaa yako. Japo barua unaweza kuiandika mwenyewe na ikafanikiwa, lakini wakili atakusaidia kuiweka vizuri zaidi. Binafsi wakati nafanya kazi nilisimamisha makato hayo na wakalazimika kunirudishia zile walizonikata bila ridhaa yangvu.
 
Serikali imesema imepokea maoni ya wabunge kuhusu changamoto ya wingi wa waombaji wa ajira dhidi ya nafasi zilizotangazwa na inaifanyia kazi ili kuweza kupata ufumbuzi wa kudumu.

Ahadi hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati ambaye alitaka kufahamu kwanini Serikali isiangalie vigezo na kuepusha kuwaita waombaji wengi.

“Tunapotangaza matangazo matarajio yetu ni kwamba watajitokeza wengi ili waje kushindana kwa ajili ya kupata nafasi hizi,” amesema naibu waziri huku akisisitiza kwamba watakapokamilisha utaratibu mpya watatoa taarifa.

Aidha, akijibu swali la Mbunge Rashid Shangazi kuhusu wakazi wa vijijini kupata taarifa za ajira, Naibu waziri amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha kuwa matangazo yote ya ajira yanakwenda hadi ofisi za kata na vijiji ili kumwezesha kila Mtanzania kupata fursa ya kuomba nafasi hizo na kuleta ushindani wa haki.

Kwa upande wake Mbunge wa Liwale, Zuberi Chauka amehoji kuwa Serikali haioni haja sasa ya kuwapa posho wale wanaoitwa kwenye usaili jijini Dodoma ili waweze kujikimu muda wote watakaokuwepo huko.

Akijibu swali hilo, Naibu Waziri amesema hilo ni suala la kibajeti na kisera hivyo Serikali itakapokuwa imejenga uwezo italifanyia kazi lakini kwa sasa ni jambo gumu.

Ameongeza kuwa Serikali inaufanyia kazi mfumo mzima wa ajira ili kutatua changamoto zinazojitokeza.
ishu nikuajiri waliopo database. na kuacha tangaza nafasi mpya kila siku kwa kada zile zile zenye waliofaulu usaili awali.
 
Hii nahisi ni walimu na CWT
Si CWT tu, hata TUGHE na vyama vingine huwabambikizia waajiriwa wapya uanachama bila ridhaa yao. Wanajua kuwa waajiriwa wapya hawajui stahili zao na haki zao!! Huwatumia maafisa utumishi kufanya unyama huu. Maafisa utumishi walio wengi si watu wazuri, wanapenda sana rushwa!! Mishahara ya maafisa utumishi ni sawa tu na wengine (TSD D kwa kuanzia), lakini hujifanya kama mabosi fulani na kujiona wako juu ya wenzao wakati siyo!!! ni mgawanyo tu ya majukumu huyu haya na huyu mengine!!
 
Huu ni ujinga, mi nashangaa watu wanakaa kimya tuu, ndio maana wanadharaulika,

Halafu Inshu sio hata hio pesa wanayokata eti kama ni kubwa, HAPANA..

Inshu ni kwa nini wakate kibabe? Ukiongezea huoni kikubwa unafaidika...
Kuna vyama vingine pia sio hao tuu.
 
Kuna kada zinakatwa bila kujaza chochote
Wakati mwingine waajiriwa wapya wanaporipoti kwenye ajira mpya, hupewa fomu mbali mbali za kujaza, kati ya fomu wanazopewa zinakuwepo pia hizo za vyama vya wafanyakazi. Kwa kuwa afisa utumishi/HR huwa keshapewa "kitu kikubwa" na vyama husika, huwashinikiza waajiriwa wapya kuwa fomu zote ulizopewa lazima zijazwe. Kwa kutokuelewa utaratibu hujikuta wamejaza, ukizingatia kuwa bado wana furaha kubwa ya kuramba asali wanaona labda wakikataa wataweza kuikosa kazi. USHAURI: Ukipewa fomu ya chama cha wafanyakazi usiijaze, akikuuliza kwa nini hujaijaza mwambie nitafanya utafiti kwanza nijiunge na chama kipi cha wafanyakazi maana viko vingi, halafu mchezo utaishia hapo!!
 
Si CWT tu, hata TUGHE na vyama vingine huwabambikizia waajiriwa wapya uanachama bila ridhaa yao. Wanajua kuwa waajiriwa wapya hawajui stahili zao na haki zao!! Huwatumia maafisa utumishi kufanya unyama huu. Maafisa utumishi walio wengi si watu wazuri, wanapenda sana rushwa!! Mishahara ya maafisa utumishi ni sawa tu na wengine (TSD D kwa kuanzia), lakini hujifanya kama mabosi fulani na kujiona wako juu ya wenzao wakati siyo!!! ni mgawanyo tu ya majukumu huyu haya na huyu mengine!!
Sio poa mkuu.. ukifanya masihara unaweza kuondoka na take home ya 400,000.
 
Back
Top Bottom