NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,997
- 3,519
Kuna interview nyingi ziko pending..mfano TANAPA..wangeita hata watu kwenye usahili basi.Tusubir july tu
Kuna interview nyingi ziko pending..mfano TANAPA..wangeita hata watu kwenye usahili basi.Tusubir july tu
Nouma ukimya umetawala pale PSRS fanyeni jambo cc Sekretarieti ya AjiraHawa PSRS wafanyakazi wote wameenda likizo nini?.
Nothing is going there on website.
Wanajianda na paper la TRA ili walambe posho la kutoshaNouma ukimya umetawala pale PSRS fanyeni jambo cc Sekretarieti ya Ajira
Acha tu mkuu.Nouma ukimya umetawala pale PSRS fanyeni jambo cc Sekretarieti ya Ajira
Kwani TRA psrs ndio watakua responsible?Wanajianda na paper la TRA ili walambe posho la kutosha
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Acha tu kaka[emoji28].Jamaa wameamua kususa.
Nadhani watatoa placement mpya (MDA&LGA) hadi pale Manchester United itakapouzwa.
Wanataka kupindua ili walambe posho la kutosha waanze kututawanya mara mwanza mara mbeyaKwani TRA psrs ndio watakua responsible?
Kikubwa asali mzee wangu..Wanataka kupindua ili walambe posho la kutosha waanze kututawanya mara mwanza mara mbeya
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwani pepa la TRA bado linawahusu PSRS ?Wanajianda na paper la TRA ili walambe posho la kutosha
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
PSRS anamuona TRA muasi kwanin aendeshe mwenyewe bila sheria kubadilishwaKwani pepa la TRA bado linawahusu PSRS ?
TRA si anaendesha mwenyewe huu mchakato ?
Kwa huo mshahara PAYE ni 18%, HESLB 15%, NHIF 3%, ambayo jumla ni almost 36%
TRA sio muasi ukisoma kanuni za PSRS utaona kuna sehemu wanaeza kukaimisha.PSRS anamuona TRA muasi kwanin aendeshe mwenyewe bila sheria kubadilishwa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa huo mshahara PAYE ni 18%, HESLB 15%, NHIF 3%, ambayo jumla ni almost 36%
Hahaaaa,Mkuu kama wizara uliyopo haupewi usifikir na zote zipo kama yako.
Kuna Bro mmoja hivi wa hii Position yuko Mbeya, namwona tu anavyotumbua maisha, huenda wanalipwa pakubwa sana.wakuu hivi Security officer wanalipaje migodini..au Sio asali kama huku Serikalini
Well said!! Mtu anaanza kazi na mawazo ya posho ya kumweka mjini ataishia kwenye tamaa ya wizi na udanganyifu na rushwa!! Hapa tunawaasa watu wakawe watumishi wema!! Understand it from the very beginning that government salary is not enough, do other legitimate business. It takes time and hard work to earn a living!.Muulize vizuri hiyo 900k anapataje, kakudanganya. Posho na vihela vipo plus wizi ila hakuna kitu inaitwa additional payment inayozidi mshahara.
Makato ya kisheria hayana hiari!! Hata kama una mume/mke anayechangia NHIF, utalazimika pia kuchangia!!. Logic yake ni kwamba unachokatwa wewe siyo lazima ukitumie wewe, kitasaidia kutunisha mfuko wa NHIF ili uweze kuhudumia wateja wake vizuri!! NHIF iko kwenye kundi la makato ya kisheria, kama jinsi ilivyo hifadhi ya kijamii. Ila makato ya chama cha wafanyakazi ni hiari!!Naomba uondoe NHIF kwa sababu, tayari anakatwa kwa upande mwingine (spouse).
Hahaaaa,
Kuna watu wanafikiri mambo yote hufanyika kwa kufanana kwenye kila taasisi na idara.
Na hapo bado hajakatwaWizara zote, Tawala za mikoa na Halmashauri wanatumia scale za mishahara TGS, Afisa hesabu daraja la pili ni TGS D ambayo ni gross 765,000. Kinachokuja kutofautisha ni marupurupu.
Mbona sijawahi kusikia hili, ni kweli ukiwa unategemea mwingine upande wako unakuwa hukatwi?Naomba uondoe NHIF kwa sababu, tayari anakatwa kwa upande mwingine (spouse).
utakatwa tuMbona sijawahi kusikia hili, ni kweli ukiwa unategemea mwingine upande wako unakuwa hukatwi?