HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila guys utumishi kweli ni jipu. Yan kazi za MDAs hadi leo mwaka na siku zake watu hawajamalizika kuitwa. Kwa mwendo huu mataasisi mengi makubwa yatatumia kama mwanya wa kuajiri yenyewe kama TRA
Sio jibu Sema jubuchungu
 
Ilikuwa ni akili ya kidikteta na ya kijamaa, kulazimisha Taasisi Moja kufanya usaili nchi nzima, ulikuwa ni uwenevu uliopitiliza.

Mpongezini Raisi Samia ana huruma sana na mpenda haki, jiandaeni na asali za tanesco, tanroad, etc zakumwaga na Kila kitu Kina isha kwenye idara husika ya baada ya interview TU siku 30 hazifiki unalamba asali kimasihara
Ww unaongea vitu gani, hao TAN ROAD si wana ajili wenyewe mpaka leo unamjua nani ambae kaajiliwa bila kubebwa kule Magu aliona mbali taasisi nyingi hazina weledi wa kujisimamia bado tunawaza undugu, na rushwa ndio maana wakafikia huko leo hii kila taasisi iajili yenyewe nani atakumbukwa bila ndg.kama una maslahi binafsi sema ila huo ni upanga ukatao kuwili furahia leo ila ujue hilo ni jipu kubwa litakalo chochea mageuzi kwenye hii mifumo
 
Acha makasiliko bro,PSRS wameprove failure!kazi yao sio kuajiri tu watoto wa masikini lkn wameshindwa kufanya saili za kuendana na uhalisia wa dunia ya sasa na kushindwa kufanya vitu kwa wakati na kutuwekea stress tu,acha taasisi zifanye tukose tujue maisha yaendelee sio hivi wanafanya utumishi,mchakato gani wa mwaka mzima usioisha huo,na maswali yasiyo na msingi wa kazi,taasisi zililalamika kuenda watu wasio competent,waoga wa kazi hawajui hata excel kila kitu kama ndio mtu anaanza,sasa leo tukae tuanze kusema tunaonewa kwa lipi sasa,kwani tra hamna walioajiriwa kipindi hicho waliotokea vijijini kwetu huko au tunafata mkumbo tu,sio lazima tuajiriwe serikalini maana watu mnalaumu TRA kuajiri as if hamuini mapungufu ya PSRS,Utanishawishi vipi mtu niliyeenda oral 3 na natoka naona kabisa kila kitu nimejibu vema sipati kazi naambiwa kuna kanzi data
 
Moja , Na wale mnaojijua hamjajitolea / kuwa na connections kwenye hizo taasisi mjiandae kisaikolojia ,ninyi hata kuwa shortlisted mtasikilizia kwenye bomba ,unajua Kenge huwa hasikii mpaka damu ivuje . Na kama mnavyojua huwezi kujitolea tu kiboya boya kwa mazingira haya ya kibongo unless wewe uwe ni kula kulala au una mtu wa kukupa back up financially .mfumo wa PSRS ulikuwa unampa graduates kufanya shughuli nyingine za kujiingizia kipato in the mean time anapambana na kusaka ajira , huo mfumo wa Taasisi watatoa priorities Kwa hao watu wao wa kujitolea na wenye connections zao ,

Na lingine ni kuwa hata hizo chances za kujitolea ni full connection na miaka saba hii ya ukame wa ajira mkae mkijua definitely kutakuwa na wimbi la watu wengi waliojishikiza hapo kwenye hizo taasisi kwa kigezo cha kujitolea ,so think about yourself na ujitathmini .
Watu wanawachora Tu mnavyojikakamua na kutuma hivyo vi CV uchwara vyenu , kuna kitu hamkijui ,subiri mpewe lessons kwa vitendo .

Pili , Huo mfumo wa kujitolea aka modern day enslavement ndio pia unachangia kiburi kwa taasisi kutoona umuhimu wa kuajiri ,kiufupi inafunga wigo wa ajira zaidi maana interns wanapiga mzigo kama manamba na taasisi nyingine haziooni umuhimu wa kuajiri sababu tu kuna mtu kacover upungufu na kufullfill duties na nafasi kiuhalisia zilizokuwa zinatakiwa zizibwe kwa ajira za kudumu ..

Guys use your time to think the reprecations of this ,msiangalie Tu pua zenu , hili suala la kushindwa kudeal na tatizo na kulikimbia ni chanzo cha matatizo mengi nchi hii , suala lilikuwa kuimprove efficiency ya mchakato hasa kasi ya utekelezaji wa majukumu hapo utumishi ,sasa kuna wahuni wamehijack hiyo agenda na kuweka interests zao ili kubypass restrictions za kubana udanganyifu na rushwa ili iwe rahisi kuweka watu wao kwenye hizo taasisi ,
Muwe mnafikiria Issues kwa umakini sana na kuangalia mambo kwa mapana yake .

Kiufupi labour market ya Tanzania sidhani kama ni rafiki tena kwa vijana kwa vurugu hizi.

Najua kuna watu ni vichwa maji ila soon mtaelewa tu na ninyi ndio mtaanza kutoa vilio humu kuhusu malalamiko ya mfumo wa ajira kwenye hizo taasisi ,mark hii comment
 
Mkuu umeongea point una hoja
 
Apa tutaongea mambo mengi but tujiulize na swali kwanini PSRS wamepokonywa authority ya kuajiri baaz ya taasisi ambazo zilikuwa zinasimamiwa na PSRS. Jibu nj kwamba PSRS imeshindwa kujisimamia kikamilifu ndio mana inapokonywa mamlaka ya baaz ya taasis.
 
Moja , Na wale mnaojijua hamjajitolea / kuwa na connections kwenye hizo taasisi mjiandae kisaikolojia ,ninyi hata kuwa shortlisted mtasikilizia kwenye bomba ,unajua Kenge huwa hasikii mpaka damu ivuje . Na kama mnavyojua huwezi kujitolea tu kiboya boya kwa mazingira haya ya kibongo unless wewe uwe ni kula kulala au una mtu wa kukupa back up financially .mfumo wa PSRS ulikuwa unampa graduates kufanya shughuli nyingine za kujiingizia kipato in the mean time anapambana na kusaka ajira , huo mfumo wa Taasisi watatoa priorities Kwa hao watu wao wa kujitolea na wenye connections zao ,

Na lingine ni kuwa hata hizo chances za kujitolea ni full connection na miaka saba hii ya ukame wa ajira mkae mkijua definitely kutakuwa na wimbi la watu wengi waliojishikiza hapo kwenye hizo taasisi kwa kigezo cha kujitolea ,so think about yourself na ujitathmini .
Watu wanawachora Tu mnavyojikakamua na kutuma hivyo vi CV uchwara vyenu , kuna kitu hamkijui ,subiri mpewe lessons kwa vitendo .

Pili , Huo mfumo wa kujitolea aka modern day enslavement ndio pia unachangia kiburi kwa taasisi kutoona umuhimu wa kuajiri ,kiufupi inafunga wigo wa ajira zaidi maana interns wanapiga mzigo kama manamba na taasisi nyingine haziooni umuhimu wa kuajiri sababu tu kuna mtu kacover upungufu na kufullfill duties na nafasi kiuhalisia zilizokuwa zinatakiwa zizibwe kwa ajira za kudumu ..

Guys use your time to think the reprecations of this ,msiangalie Tu pua zenu , hili suala la kushindwa kudeal na tatizo na kulikimbia ni chanzo cha matatizo mengi nchi hii , suala lilikuwa kuimprove efficiency ya mchakato hasa kasi ya utekelezaji wa majukumu hapo utumishi ,sasa kuna wahuni wamehijack hiyo agenda na kuweka interests zao ili kubypass restrictions za kubana udanganyifu na rushwa ili iwe rahisi kuweka watu wao kwenye hizo taasisi ,
Muwe mnafikiria Issues kwa umakini sana na kuangalia mambo kwa mapana yake .

Kiufupi labour market ya Tanzania sidhani kama ni rafiki tena kwa vijana kwa vurugu hizi.

Najua kuna watu ni vichwa maji ila soon mtaelewa tu na ninyi ndio mtaanza kutoa vilio humu kuhusu malalamiko ya mfumo wa ajira kwenye hizo taasisi ,mark hii comment

Una hoja usikilizwe mkuu.
 
Acha makasiliko bro,PSRS wameprove failure!kazi yao sio kuajiri tu watoto wa masikini lkn wameshindwa kufanya saili za kuendana na uhalisia wa dunia ya sasa na kushindwa kufanya vitu kwa wakati na kutuwekea stress tu,acha taasisi zifanye tukose tujue maisha yaendelee sio hivi wanafanya utumishi,mchakato gani wa mwaka mzima usioisha huo,na maswali yasiyo na msingi wa kazi,taasisi zililalamika kuenda watu wasio competent,waoga wa kazi hawajui hata excel kila kitu kama ndio mtu anaanza,sasa leo tukae tuanze kusema tunaonewa kwa lipi sasa,kwani tra hamna walioajiriwa kipindi hicho waliotokea vijijini kwetu huko au tunafata mkumbo tu,sio lazima tuajiriwe serikalini maana watu mnalaumu TRA kuajiri as if hamuini mapungufu ya PSRS,Utanishawishi vipi mtu niliyeenda oral 3 na natoka naona kabisa kila kitu nimejibu vema sipati kazi naambiwa kuna kanzi data
Wewe oral 3 tu unalalamika hivyo, kuna wenzako hawawezi hata kusema wamehudhuria oral ngapi maana ni nyingi!! wewe ulivyoona umejibu vema, wenzio pia waliona wamejibu vema, mkijibu wote vema hamuwezi kuchukuliwa wote, watalazika kuchukua waliojibu VEMA ZAIDI na wengine kusubirishwa database!! Wahenga walisema, subira yavuta heri!!
 
Upo sahihi kiongoz, kuna failure zingine za wazi wazi wameprove. Huwez ajila ukawasubilisha vijana wa watu mwaka mzima. Ujinga mtupu
 
Moja , Na wale mnaojijua hamjajitolea / kuwa na connections kwenye hizo taasisi mjiandae kisaikolojia ,ninyi hata kuwa shortlisted mtasikilizia kwenye bomba ,unajua Kenge huwa hasikii mpaka damu ivuje . Na kama mnavyojua huwezi kujitolea tu kiboya boya kwa mazingira haya ya kibongo unless wewe uwe ni kula kulala au una mtu wa kukupa back up financially .mfumo wa PSRS ulikuwa unampa graduates kufanya shughuli nyingine za kujiingizia kipato in the mean time anapambana na kusaka ajira , huo mfumo wa Taasisi watatoa priorities Kwa hao watu wao wa kujitolea na wenye connections zao ,

Na lingine ni kuwa hata hizo chances za kujitolea ni full connection na miaka saba hii ya ukame wa ajira mkae mkijua definitely kutakuwa na wimbi la watu wengi waliojishikiza hapo kwenye hizo taasisi kwa kigezo cha kujitolea ,so think about yourself na ujitathmini .
Watu wanawachora Tu mnavyojikakamua na kutuma hivyo vi CV uchwara vyenu , kuna kitu hamkijui ,subiri mpewe lessons kwa vitendo .

Pili , Huo mfumo wa kujitolea aka modern day enslavement ndio pia unachangia kiburi kwa taasisi kutoona umuhimu wa kuajiri ,kiufupi inafunga wigo wa ajira zaidi maana interns wanapiga mzigo kama manamba na taasisi nyingine haziooni umuhimu wa kuajiri sababu tu kuna mtu kacover upungufu na kufullfill duties na nafasi kiuhalisia zilizokuwa zinatakiwa zizibwe kwa ajira za kudumu ..

Guys use your time to think the reprecations of this ,msiangalie Tu pua zenu , hili suala la kushindwa kudeal na tatizo na kulikimbia ni chanzo cha matatizo mengi nchi hii , suala lilikuwa kuimprove efficiency ya mchakato hasa kasi ya utekelezaji wa majukumu hapo utumishi ,sasa kuna wahuni wamehijack hiyo agenda na kuweka interests zao ili kubypass restrictions za kubana udanganyifu na rushwa ili iwe rahisi kuweka watu wao kwenye hizo taasisi ,
Muwe mnafikiria Issues kwa umakini sana na kuangalia mambo kwa mapana yake .

Kiufupi labour market ya Tanzania sidhani kama ni rafiki tena kwa vijana kwa vurugu hizi.

Najua kuna watu ni vichwa maji ila soon mtaelewa tu na ninyi ndio mtaanza kutoa vilio humu kuhusu malalamiko ya mfumo wa ajira kwenye hizo taasisi ,mark hii comment
Ndugu yetu ana hoja asikilizwe [emoji1666]
 
Ww unaongea vitu gani, hao TAN ROAD si wana ajili wenyewe mpaka leo unamjua nani ambae kaajiliwa bila kubebwa kule Magu aliona mbali taasisi nyingi hazina weledi wa kujisimamia bado tunawaza undugu, na rushwa ndio maana wakafikia huko leo hii kila taasisi iajili yenyewe nani atakumbukwa bila ndg.kama una maslahi binafsi sema ila huo ni upanga ukatao kuwili furahia leo ila ujue hilo ni jipu kubwa litakalo chochea mageuzi kwenye hii mifumo
Halafu kuweka rekodi sawa,utumishi(PSRS) waliundwa mwaka 2007.Na kufanya michakato nadhani walianza 2010 hv au 2011.Hivyo huyu ni mtoto wa awamu ya Kikwete. Lengo lilikuwa zuri na kuondoa undugunisation.Mimi nimeisoma ile sera ya utumishi sijui ipo kwenye website yao.Inaeleza kabisa hali ilikuwaje huko nyuma.
 
Wewe oral 3 tu unalalamika hivyo, kuna wenzako hawawezi hata kusema wamehudhuria oral ngapi maana ni nyingi!! wewe ulivyoona umejibu vema, wenzio pia waliona wamejibu vema, mkijibu wote vema hamuwezi kuchukuliwa wote, watalazika kuchukua waliojibu VEMA ZAIDI na wengine kusubirishwa database!! Wahenga walisema, subira yavuta heri!!
Swali ni je kwanini TRA wamejitoa PSRS. Swali lingine ni je kwanini raisi kipind kile alivyoongelea ucheleweshwaji wa vijana wa TRA kuitwa kazini, PSRS baadae kidogo wakatoa majina ya hao vijana. Tutumie facts kujibu tusijibu kwa muhemko na kukariri.
 
Ww unaongea vitu gani, hao TAN ROAD si wana ajili wenyewe mpaka leo unamjua nani ambae kaajiliwa bila kubebwa kule Magu aliona mbali taasisi nyingi hazina weledi wa kujisimamia bado tunawaza undugu, na rushwa ndio maana wakafikia huko leo hii kila taasisi iajili yenyewe nani atakumbukwa bila ndg.kama una maslahi binafsi sema ila huo ni upanga ukatao kuwili furahia leo ila ujue hilo ni jipu kubwa litakalo chochea mageuzi kwenye hii mifumo
Magu tanroad anaijua vizur na hakuwa na shida nao, wala kuwa na wasiwasi nao, Sema wewe ni muoga TU
 
Back
Top Bottom