CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,014
We una akili kichwani? Yaan unaangalia cost badala ya wasailiwa?Kweli mdomo mali yako.Yaani unaongea tu, no reasoning. Hujui hata cost ya kumsaili mtu mmoja wala hujui cost upande wa msailiwa kwahiyo hutaweza ku reason umuhimu wa database kabisa nk nk.Huwezi hata kuelewa workload ya mtu kusaili watu elf 8 nk nk.Mengi huyajui.Asante kwa kuchangia
Usaili ukiisha, iwe mwisho, tusiweke room ya kuwaweka ndugu zetu.
Una sababu gani za msingi za kuwaweka watu Database?
Hujui wapo watu walikosa kuja kufanya Usaili kutokana na uhaba wa nauli? Je kwann zitokeapo fursa zingine wachukuliwa wale wa mwanzo tu? Kwann kusiwe na usaili mwingine ili wale ambao sasa wamejikusanya nauli nao wapate fursa?
Lengo ni ajira, hivyo lazima kila mmoja wetu apate fursa ya kufanya usaili kwa nafasi husika.
Maswali ya usaili yanatofautiana na ndio maana watu wanafeli, kama ndio hivyo hakuna haja ya usaili, tuamue kuajiri kama walimu na kada za afya.