HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio kweli maana mishahara ni ya kawaida ila kinachowabeba hawa jamaa TARURA na RUWASA ni posho nyingi
Nachofahamu Mm ni kuwa Tarura waliomba wabadilishiwe muundo coz kwa sasa ni Taasisi inayojitegemea! Nadhani waliomba pia kubadilishiwa scale za mishahara ili kwendana na Tanroads.
 
Ni kweli na hata RUWASA nao waliomba hivyo pia
 
Back
Top Bottom