Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kweli TRA kuna asali nzito mno! Huyo ni afisa tuu.View attachment 2634254
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Rushwa mkuu ila pesa zake nyingi wanakwambia hazionekani kabisa utakua mtu wa madem pombe nknk. Sometimes unapewa hongo ukihesabu ipo sawa ila sasa ukiiweka ukahesabu tena unakuta pungufu. Pesa za wafanyabiashara zina majini sana. Ogopa mtu anayetoa rushwa huku roho inamuuma.