Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
Waliopata Kazi TPDC wale wanasheria hakika wamelamba asali ya kutosha,
Karibu mjini mkuuMambo bado watu watakula asali mno,,,,Watu wa Dar tuonane bhana njiani now Dom to Dar
Nadhan inawezekana, kwa sababu kila mkataba una conditions zake.Nilikua naomba kuuliza kidogo mwenye uelewa atanisaidia kulijibu hili
Mfano mtu kaomba ajira ya mkataba kapata kashaanza ifanya baada ya miezi 3 ,,Kaitwa utumishi ajira yakudumu utaratibu apo umekaa vipi? Uwezekano wakusitisha mkataba uliopo nakuend ajira ya kudumu upo?
Ndo nmemaliza kusoma uzi yaliyonipita,special congratulations to you dear.Kutukana hakutakusaidia muombe Mungu atakusaidia ,kazi za serikalini zinahitaji uvumilivu wa hali ya juu.Mfano hizi pdf za sasa tangu zitangazwe nafasi za kazi n mwaka jana tukaapply kuja kuitwa written mwez December yan mtu ulishagasahau hata kama uliapply baada ya hapo tukakaa hadi february ndio kuja kuitwa oral baada ya hapo ndio kuanza kuitwa kuna watu bado hawajaitwa ila wamefaulu yaani wataitwa muda wao ukifika.Kusubiria n kazi ngumu sana lakini kwa system ya serikali hamna namna endelea kuwa na subira huku ukimuomba Mungu na ww jina lako liwemo kwenye pdf zijazo.
Mie naona nisubr zingine,yamebaki majiina kama 15 hivi though mpaka sasa sipo.yesamrich vipi mamiii na wewe umekumbukwa , humo leo hii
Nilikua naomba kuuliza kidogo mwenye uelewa atanisaidia kulijibu hili
Mfano mtu kaomba ajira ya mkataba kapata kashaanza ifanya baada ya miezi 3 ,,Kaitwa utumishi ajira yakudumu utaratibu apo umekaa vipi? Uwezekano wakusitisha mkataba uliopo nakuend ajira ya kudumu upo?
Asante sana mm nawaombea Mungu awasaidie nanyi mpate ndugu zangu, hali ya kitaani sio poa msikate tamaa ipo siku tu nanyi mtaleta shuhuda.Ndo nmemaliza kusoma uzi yaliyonipita,special congratulations to you dear.
Hapa sasa sina waswas nam najua one day yes,ww ndo ushuhuda wangu[emoji16].
Am soooo happy for you,Mungu akutangulie kwenye majukum yako mama.
AmenTpdc bado watu watalamba sana asali hawana hiana hawa na TPA pia hawana hiana
Note me
Taasisi Tamu
TpA
Taasisi za bima
Wizara mbalimbali Next.....
Msiwapondee PSRS wanawalazimisha taasisi na wizara mbalimbali mno kuchukua database
Tunawacheck TBS nakutoa chozi wachukue nao🙏 Wasakatonge Msikate tamaa jamani
njaa kali kinomaaAsante sana mm nawaombea Mungu awasaidie nanyi mpate ndugu zangu, hali ya kitaani sio poa msikate tamaa ipo siku tu nanyi mtaleta shuhuda.
Tuvumilie, yajayo ni bora zaidi.!
Kila mtu atatokea kwenye pdf.
Leo mbona hakuna pdf iliyotoka au unasema ya JanaPdf la leo limenona bila shaka wengi humu mmelamba asali
Leo mbona hakuna pdf iliyotoka au unasema ya Jana