HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo.
 
Binafsi nimeshachoka kabisa na hawa Psrs,imefika muda Sasa nimesurender,maana naona wananipotezea muda,malengo na focus ya kufanya mishe nyingine,hii haiwezekani kabisa,usahili wa tangu February mpk leo hii may?

Ukinzingatia nimeanza kufanya sahili tangu Psrs inaanzishwa,mpk leo hii Mambo bado tu,nimeshaingia oral nyingi sana lakini hakuna Cha data base Wala kazi data,bado nafasi zinatanganzwa upya tu,bnimeshaenda mpk ofsini kwao kuomba matokeo yangu ya oral kujua kwanini sipangiwi lakini walikataa kata kata kutoa wakati matokeo ni yangu, haya maisha mtu unaweza kuzani labda umelaanika aise,bmaana km kuombewa na kuomba tumeshamaliza wachungaji hapa mjini,unaona tu km vile unawasumbua sometimes
 
WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo.
Maswali ya written ni vigum kujirudia, ila kwa uzoefu soma sana kile kitabu cha NBAA cha level ya technician, kwa mtu wa Accounting officer II asome kile kitabu cha accounting kwa level ya Foundation. Accountant II Asome financial Accounting ya Intermediate na Financial reporting ya final.

Kwa kifupi written interview za prsr zinahitaj maandalizi sio zimamoto. My advice ukishaaply post yeyote baada ya kufuata maelekezo uanze kujiandaa mdogo mdogo usisubiri had watoe majina ya kuitwa interview.
 
Binafsi nimeshachoka kabisa na hawa Psrs,imefika muda Sasa nimesurender,maana naona wananipotezea muda,malengo na focus ya kufanya mishe nyingine,hii haiwezekani kabisa,usahili wa tangu February mpk leo hii may?ukinzingatia nimeanza kufanya sahili tangu Psrs inaanzishwa,mpk leo hii Mambo bado tu,nimeshaingia oral nyingi sana lakini hakuna Cha data base Wala kazi data,bado nafasi zinatanganzwa upya tu,nimeshaenda mpk ofsini kwao kuomba matokeo yangu ya oral kujua kwanini sipangiwi lakini walikataa kata kata kutoa wakati matokeo ni yangu, haya maisha mtu unaweza kuzani labda umelaanika aise,maana km kuombewa na kuomba tumeshamaliza wachungaji hapa mjini,unaona tu km vile unawasumbua sometimes
Mkili Yesu Kristo kuwa ni mwokozi na mtetezi wa maisha yako, ipo furaha kubwa na faida kwa Yesu. Yatazame maisha katika ulimwengu wa kiroho zaidi ya kufikiria maisha ya kupita ya nyama na damu hapa duniani. Hata ukipata kazi nzuri Serikalini lakini usipo Mwamini Yesu Kristo kuwa ni mwokozi wa maisha yako hata hiyo kazi itakuwa haina maana.
Watu wa Mungu , Bwana atusaidie sana, hasa vijana wanao kata tamaa na kupotea.
 
Maswali ya written ni vigum kujirudia, ila kwa uzoefu soma sana kile kitabu cha NBAA cha level ya technician, kwa mtu wa Accounting officer II asome kile kitabu cha accounting kwa level ya Foundation. Accountant II Asome financial Accounting ya Intermediate na Financial reporting ya final. Kwa kifupi written interview za prsr zinahitaj maandalizi sio zimamoto. My advice ukishaaply post yeyote baada ya kufuata maelekezo uanze kujiandaa mdogo mdogo usisubiri had watoe majina ya kuitwa interview.
Nilishaitumia hii principle baada ya kushauriwa na mmoja ya wadau, now nipo nakula asali kwenye moja ya ofisi ya Secretariat ya mkoa
 
Binafsi nimeshachoka kabisa na hawa Psrs,imefika muda Sasa nimesurender,maana naona wananipotezea muda,malengo na focus ya kufanya mishe nyingine,hii haiwezekani kabisa,usahili wa tangu February mpk leo hii may?ukinzingatia nimeanza kufanya sahili tangu Psrs inaanzishwa,mpk leo hii Mambo bado tu,nimeshaingia oral nyingi sana lakini hakuna Cha data base Wala kazi data,bado nafasi zinatanganzwa upya tu,nimeshaenda mpk ofsini kwao kuomba matokeo yangu ya oral kujua kwanini sipangiwi lakini walikataa kata kata kutoa wakati matokeo ni yangu, haya maisha mtu unaweza kuzani labda umelaanika aise,maana km kuombewa na kuomba tumeshamaliza wachungaji hapa mjini,unaona tu km vile unawasumbua sometimes
wanapeana kazi kwa kujuana . haiwezekani watu wanafaulu usaili alafu watangaze nafasi mpya kwa kada hiyo
 
Back
Top Bottom