HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Maswali ya written ni vigum kujirudia, ila kwa uzoefu soma sana kile kitabu cha NBAA cha level ya technician, kwa mtu wa Accounting officer II asome kile kitabu cha accounting kwa level ya Foundation. Accountant II Asome financial Accounting ya Intermediate na Financial reporting ya final. Kwa kifupi written interview za prsr zinahitaj maandalizi sio zimamoto. My advice ukishaaply post yeyote baada ya kufuata maelekezo uanze kujiandaa mdogo mdogo usisubiri had watoe majina ya kuitwa interview.
Nameyaona! Maswali yanajirudia sana tu sema yanaulizwa kwa namna tofauti tofauti tu,,, ni vile vitu basic vya Accounts
 
WRITTEN INTERVIEW KORUWASA kwa upande wa Accounts Assistant please share maswali, watu wapate mwanga kwenye maandalizi ya saili zijazo.
Mimi sijafanya ila nimeomba kwa mtu aliye fanya kanitumia aya.

1.Briefly explain why trial balance msy still balance even if there is incorrect entry posted in a group of accounts.

2. Reasons for difference between cash book and bank statement.

3. Source of document ya hivi vitu.
1.Purchase book.
2.sales book.
3.Purchase return book.
4.Sales return book.
5. Cash receipt.
6. Cash payment.
7. Cheque payment

4. Mention 5 benefit of preparing profit and loss account.
 
Mimi sijafanya ila nimeomba kwa mtu aliye fanya kanitumia aya.

1.Briefly explain why trial balance msy still balance even if there is incorrect entry posted in a group of accounts.

2. Reasons for difference between cash book and bank statement.

3. Source of document ya hivi vitu.
1.Purchase book.
2.sales book.
3.Purchase return book.
4.Sales return book.
5. Cash receipt.
6. Cash payment.
7. Cheque payment

4. Mention 5 benefit of preparing profit and loss account.
Hyo hapo Ila sasa kukumbuka

Screenshot_20230521-140831.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nimeshachoka kabisa na hawa Psrs,imefika muda Sasa nimesurender,maana naona wananipotezea muda,malengo na focus ya kufanya mishe nyingine,hii haiwezekani kabisa,usahili wa tangu February mpk leo hii may?ukinzingatia nimeanza kufanya sahili tangu Psrs inaanzishwa,mpk leo hii Mambo bado tu,nimeshaingia oral nyingi sana lakini hakuna Cha data base Wala kazi data,bado nafasi zinatanganzwa upya tu,nimeshaenda mpk ofsini kwao kuomba matokeo yangu ya oral kujua kwanini sipangiwi lakini walikataa kata kata kutoa wakati matokeo ni yangu, haya maisha mtu unaweza kuzani labda umelaanika aise,maana km kuombewa na kuomba tumeshamaliza wachungaji hapa mjini,unaona tu km vile unawasumbua sometimes
Aisee inaumiza sanaa! Yani hawa jamaa hawajui tuu!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Shukrani. Mimi pia nipo hapa ni afsa mstaafu katika utumishi wa umma. Nawatia moyo vijana kutokukata tamaa pia kuwaelezea taratibu, miongozo haki na wajibu wa waajiriwa katika utumishi wa umma.
Kiongozi, yahitaji ukae kazini kwa muda gani ili ukidhi vigezo vya kuomba,
1) Kwenda masomoni?
2) Uhamisho kwenda taasisi ingine kwa mtumishi wa umma?
 
Back
Top Bottom