Pesa ya serikali hutoka kwa kuiandikia. Kwa afisa utumishi mwenye roho nzuri huwa mkiripoti tu mnajaza personal particulars halafu anawaelimisha kuhusu stahili zenu na namna ya kuzipata. Kwa kawaida huwa zipo fomu maalumu ambapo utajaza madai yako ya 1. posho ya kujikimu siku 7 kila siku ni sh 100,000/=. 2. Nauli kutoka kwenu hadi kituo cha kazi. Nyumbani kwenu ni kwaq mujibu ya jinsi ulivyojaza kwenye personal particulars. Kama una mke na watoto, na wenyewe wanapatiwa nauli na nusu ya posho ya kujikimu kwa siku hizo saba. 3. Gharama ya kusafirisha mizigo binafsi/personal effects. Hii haipungui tani 1.5. Kati ya hizo tani moja ni kwa parcel rate na zilizobaki ni kwa goods rate.
Sasa hili la kupewa pesa ya kusafirisha mizigo waajiri wengine huwa hawatoi na wanajua kabisa waajiriwa wapya hawatadai!! Lakini ukiidai kwa maandishi lazima utapewa, kama siyo leo kuna siku waqtalazimika kukupa maana ni haki yako ipo kisheria.
(Made under Standing Orders J.3, J.8, J.10, J.25) THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE, 2009 SCALE OF LOCAL TRANSPORT AND TRAVELLING PRIVILEGES Category Posts CLASS OF ACCOMMODATION AMOUNT OF LUGGAGE DOMESTIC SERVANT’S TICKET Railways Road Services Lake or Coastal Steamers First appointment, transfer, termination of appointment, retirement Duty convalescent leave Travelling on leave at Government expense (excluding leave pending retirement, termination or appointment) First appointment, transfer, termination of appointment, annual leave, safari Duty (not entailing convalescent leave) (i) (ii) (iii) (iv) (v) (vi) (vii) (viii) (ix) (x) A Public servants in the TGS.J – Q and above Reserved 1st class berth compartment Upper Class First Class 5,000 kg 100 kg 100 kg 2 1 B Public servants in scales TGS.E – I First Class Upper Class First Class 5,000 kg 100 kg 100 kg 2 1 C Public servants in Scales TGS.C-D Second Class Upper Class Second Class 5,000 kg Public servant’s in Scales TGS.A-B Third Class Lower Class Deck 3,000 kg 50 kg 50 kg - -