_saul
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 257
- 520
Sawasawa mkuu embu ulizia kama Kuna database ya wakufunzi na hizi tutorial assistant kama mtu alifaulu usahili akakosa nafasiNipo uwanja wa Data hapa kuna wadau wanachukuwa barua ngoja,,,,kuna mdada kaingia ndani na masijala kabeba vitu kama barua hivi ila ngoja nifwatilie vizuri kama ndizo basi pdf nyingine haiko mbali
Nauliza hv Kuna ndugu Yang mmoja Hana nauli na amefanya vyuo kama 3 zote alipita oral na placement zilishatoka na amekosa hivyo amekata tamaa na gharama za kuhudhuria sahili Hana pesa tena