TUnique
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 287
- 665
uyo hajielewi.. anataka kajiri ndugu zake kwa kigezo cha kujitoleaRidhwani aachane na mpango wa kutaka ajili watu kwa kigezo cha kujitolea ni kuturudisha nyuma kipindi cha giza kuu, la kujuana na rushwa za pesa na ngono.Huwezi jitolea bila connection hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app