Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Bado ndo tunasubiri barua ya kazi rasmi kujua nimepangwa wapi
hivi hili zoezi huwa linachukua muda gani? na wanafanya nini hasa wakati mmeshapewa uhakika wa kazi na psrsBado ndo tunasubiri barua ya kazi rasmi kujua nimepangwa wapi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Bado ndo tunasubiri barua ya kazi rasmi kujua nimepangwa wapi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
mbungi ngumu hiiLeo naona patupu kulaleki
Ni mwendo wa kuishi kwa matumainimbungi ngumu hii
WaLItazame mara ?Database
Hili nalo mkalitazame
Kama kawaida yaoTarehe 19 itakuwa bajeti ya ofisi ya raisi utumishi,nadhani watakuja na takwimu za ukanjanja na ahadi kedekede za ajira.
Tuzidi kuidai Data base [emoji95] mpk kufika 19/4...Tarehe 19 itakuwa bajeti ya ofisi ya raisi utumishi,nadhani watakuja na takwimu za ukanjanja na ahadi kedekede za ajira.
Wizara ya Kilimo bajeti yao inasomwa liniii wajameniii???Tarehe 19 itakuwa bajeti ya ofisi ya raisi utumishi,nadhani watakuja na takwimu za ukanjanja na ahadi kedekede za ajira.
Vipi Kuna jambo lako huko mkuuWizara ya Kilimo bajeti yao inasomwa liniii wajameniii???
Mmh nalia kijerumani..mambo magumu nyieNi mwendo wa kuishi kwa matumaini
Duuh!Leo naona patupu kulaleki
hivi kumbe kuna sokoine dayKwema jameni? Leo ni siku Sokoine Day, sijajua kama IT atafanya mambo. Tusubiri tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app