HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Congratulation kijana. ushuhuda kama huu ndio watu tunataka, cyo kila dairly mtu akilala akiamka anawaza kuwakandia PSRS.
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Hongera sana yesamrich

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.

Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,

Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.

Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.

We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.

Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.

Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.

Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.

Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.

Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
Kitaa kigumu Kiongozi!!!
Kupunguza haya malalamiko ya Bestlooser;
PSRS waachie Agizo la Utumishi Database 1700+ kwa budget ya 2021/2022 alilosema Mh.Mhagama....
Mungu awasimamie PSRS katika Utendaji wenu!!!
 
Pigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.

Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?

Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.

Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.

PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
Kelele nyingi zilikuwa ni watu wa TRA na ASA. Hawa jamaa walikuwa na njaa sana inaonekana kitaa kiliwapiga
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Njoo nikuoe Sasa tupunguze ukali wa maisha
 
Mkuu tuweke akiba ya maneno, naimani siku cyo nyingi utaramba asali ya utumishi. Cjui hii post yako utaifuta au lah
emoji848.png
Wewe bado ujanijua vizur
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Katika siku niliyopata furaha ni leo kuona unalamba Asali,,,Daaah hongera sana 💪 tena mno ukifika dom nitakupeleka free Masijala kuanzia makulu hongera mno sijui hata nisemeje
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Aisee hongera Sana mkuu,hii ni bonge la suprise
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Hongera mno
 
Pongezi ziende kwako trade officer
 
Back
Top Bottom