HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mmm
Hio imentokea an am talking from my experience..nimefanya oral 3..moja ya Mda/lga nilifanya tarehe 14 nlivotoka tu kucheki tarehe 15 nikakutana na not selected
Mmmh wewe unafurahisha genge au kuwapa moyo tu watu humu.. Kama ni yako basi weka tuone hapa, me sitaki unafiki kabisaaaaa
 
Hio imentokea an am talking from my experience..nimefanya oral 3..moja ya Mda/lga nilifanya tarehe 14 nlivotoka tu kucheki tarehe 15 nikakutana na not selected
Mkuu tupe experience ilikuaje, ulijibu vipi maswali yao..na kwa mtazamo wako unaona hukuvuka 50%?
 
Hahaha,washashtukia psrs maana tunaiongelea sana so na wenyewe naskia wanaitwist everytime. But am pretty sure before the hype status zilikua zinamaanisha kitu kabsa.
Mpk kesho status kwny app zina maana
 
One day after oral.. oral nimefanya tarehe 14 kuja kucheki tarehe 15 mzigo not selected ila kwenye web ipo selected for oral..kwenye App ndio not selected for oral
Mkuu! Mbona hiyo sio kawaida ungetuwekea screenshot ingekuwa poa
 
Back
Top Bottom