HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lakini hi sio nzury mfano Wakwanza practical kapata 80 na oral akapata 40 .Alafu mtu mwengine practical 50 na oral 50 .Inaonyesha uyo Alie feli oral na kufaulu practical niye mshind
utaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..

hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
 
utaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..

hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
kwani lengo la interview ni nini?
 
Au kwenye hizo kanuni wapi pameandikwa marks za written hazitumiki tena. acheni kujipa moyo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anauliza pameandikwa wapi[emoji23]

Wakati kuna sehemu imeandika marks zitajumlishwa wakati gani (Oral + Practical)

Huu ni muongozo tu, je notes?
Huyu anataka kusikia habari inayomfariji, ni aidha matokeo ya written alipata marks nyingi, kaingia oral kila akijitathmini, anaona alipuyanga tu, sasa anahitaji faraja kipindi hiki akisubiri pdf la placement.
 
Ninavyoamini inawezekana kabisa mtu A akapata maksi nyingi kuliko mtu B lakini asipate akapatamtu B kwa kigezo cha confidence na mfano wake
Acha kujichekesha mkuu.. confidence hyo ya wapi yaan hujajibu maswali vizuri hyo confidence ya chooni au😁😁. Confidence ni ya kichwani tu bob hyo ndio muhimu
 
Wew umelisoma wapi
kifungu 15(2).

kuna mtu written alipata 50 ila alilamba asali kwa kuwa alipiga vzur oral. na kuna meingine alipata 80 ila hakulamba asali kwakuwa haku perform vzur oral

let say written 50 + 95 oral = 145
written 80 + 60 oral = 140

mwenye jumla ya 145 ndo mshindi japo hakufanya vzur written
 
Huyu anataka kusikia habari inayomfariji, ni aidha matokeo ya written alipata marks nyingi, kaingia oral kila akijitathmini, anaona alipuyanga tu, sasa anahitaji faraja kipindi hiki akisubiri pdf la placement.
kama umegundua hivyo toa msaada kwa kusapoti hoja zake ndo kufarijiana kwenyewe😄😄😄😄jokes🙌
 
[emoji16][emoji16][emoji16] written nlikua na 70 na kuna mwenye 95 yake
 
Hazihusiani marks msidanganyane ingekuwa hivo kila mtu ungekuta ameshapata ajira, huku kuna Uzi mmoja wa sekretariet hili swali lilijibiwa Huwa wanapima mtu kivyake kwenye kuandika inajitegemea, practical hivohivo na oral pia, ndio maana unaweza kukuta mtu written ana 80 , practical 49 wala haendelei na oral, ingekuwa hivo hiyo siunhekuta kashaajiriwa kitambo.

Kwahyo kila hatua inapimwa kivyake usijione written umeongoza ukajua na oral ndio utakuwa hivo huo ni uwongo inatakiwa kila hatua upambane sana.

Na mara nyingi unakuta mtu aliyeeongoza written anashindwa oral sababu akitegemea hata nisipojibu vizuri marks zitagawanywa na nitakuwa ndani ya wastani

Mtu aliyepata written 50 unashangaa ndie anayepata kazi maana oral anajipanga kwa nguvu zote .

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
kama umegundua hivyo toa msaada kwa kusapoti hoja zake ndo kufarijiana kwenyewe😄😄😄😄jokes🙌
Kufarijiana ndo huku tunaenda nae taratibu, maana anasoma kanuni na kunukuu na kutafsiri vile anaona vitambeba yeye.
 
Umeiweka kitaalamu sana[emoji23]
Wale jamaa oral zao ziko straight sana, ukiwa na roho ngumu, ukitoka unatafuta videsa na kupata majibu ya swali la pili mpaka la tano, na kulinganisha na kile ulichokijibu.

Simple tu, unajijua upo ndani ya chaki au tayari umeshaaga mashindano.
 
Back
Top Bottom