HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna saili aina tatu;

1. Usaili wa kuandika
2. Usaili wa Vitendo
3. Usaili wa Uwasilishaji Maada
4. Usaili wa Mahojiano

  1. Ukiwa unafanya usaili wa kuandika, kinachofanyika ni kuchuja tu, marks zake baada ya kuwa selected unaziacha unaanza upya kwenye hatua inayofuata.
  2. Ukiweza kuwa selected hatua ya mtihani wa kuandika kwenda usaili wa mahojiano. Basi washindi wanapatikana kwa kuangalia marks za mahojiano pekee..
  3. Ikiwa usaili wako utahusisha usaili wa vitendo, basi marks za mtihani wa vitendo zitajumuishwa na marks za usaili wa mahojiano ili kuweza kupata mshindi/washindi
  4. Na kama usaili wako utahusisha uwasilishaji maada, basi marks za uwasiliashaji na za mahojiano zitajumuishwa ili kupata jumla ya maksi zako. Hii mara nyingi ni kwa kada za wanataaluma, na marks za ufauru huwa zinaanzia 70%>
Hope kidogo nimejaribu kufafanunua, kuhusu mkanganyiko waliokuwa wanadiscuss wadau.
Umeeleweka kaka sio kidogo bali sana. Asante sanaa.
 
Je? Kama saili Ina Mambo yote yaani written , practical na oral I achukulieaje ap
 
Mbona nimeelezea, "written" yeyote ni kwa ajili ya kuchuja tu. Baada ya hapo ukienda vitendo ukapata ukawa selected kwenda oral, marks zako za usaili wa vitendo zitajumuishwa na marks za usaili wa mahojiano na kushindanishwa ili kupata mshindi kulingan na idadi ya nafsi zilizopo
 
Lakini hi sio nzury mfano Wakwanza practical kapata 80 na oral akapata 40 .Alafu mtu mwengine practical 50 na oral 50 .Inaonyesha uyo Alie feli oral na kufaulu practical niye mshind
 
Lakini hi sio nzury mfano Wakwanza practical kapata 80 na oral akapata 40 .Alafu mtu mwengine practical 50 na oral 50 .Inaonyesha uyo Alie feli oral na kufaulu practical niye mshind
PSPRS wanapokea maoni juu ya uboreshaji wa kanuni zao, waandikie hayo maoni.
 
Lakini hi sio nzury mfano Wakwanza practical kapata 80 na oral akapata 40 .Alafu mtu mwengine practical 50 na oral 50 .Inaonyesha uyo Alie feli oral na kufaulu practical niye mshind
Ndio hii mbona iko poa. Ungekuwa wewe unaitaji dereva kwenye practice (kuendesh a) kafanya vyema kapata 85 lakini kwenye oral kiingereza akipandi vyema kapata 40. Laini mwingine kuendesha kapata 50 lakini oral kipiga poa 60. Je utamchukua nani? Yule ambaye gari hajiu vizuri ila kuongea kafanya vizuri au yule mzuri kwenye kuendesha ila kutoa madini mdomini kashindwa?.
 
Jamani naomba kuuliza, hapa kati kulikuwaga na ubishi wa tai nyekundu. Naomba kuuliza kuna mtu alivaa tai nyekundu kwenye interview na amepata kazi? Na je kuna ambae alivaa tai nyekundu na amekosa kazi?
Sina ushuhuda ila kwa ushauri tu usivae , maana mara nyingi tai nyekundu huwa anavaa raisi (mwanaume) na rais mwanamke anavaa ushungi au mtandio mwekundu....cheki picha za rais wetu mama yetu
 
Sina ushuhuda ila kwa ushauri tu usivae , maana mara nyingi tai nyekundu huwa anavaa raisi (mwanaume) na rais mwanamke anavaa ushungi au mtandio mwekundu....cheki picha za rais wetu mama yetu
Sawasawa na unavyoona matumizi ya peni nyekundu huwa anatumia rais, benk , majaji n.k
 
nafikiri kanuni na taratibu zinaathiriwa na mambo mengi Zaidi ya tunavyoona miongozo.
Kuna muda ukifuata kichwakichwa kama zilivyoandikwa unaharibu na unakuwa chini ya kiwango.
So naamini hizo kanuni zinatumika kwa upana wake tofauti na tunavyodhan nje ya box.
 
Kwanini unadhani hivyo?
 
Ninavyoamini inawezekana kabisa mtu A akapata maksi nyingi kuliko mtu B lakini asipate akapatamtu B kwa kigezo cha confidence na mfano wake
This is the Game of marks not the game of confidence my brother.
 
Ndio hii mbona iko poa. Ungekuwa wewe unaitaji dereva kwenye practice (kuendesh a) kafanya vyema kapata 85 lakini kwenye oral kiingereza akipandi vyema kapata 40. Laini mwingine kuendesha kapata 50 lakini oral kipiga poa 60. Je utamchukua nani? Yule ambaye gari hajiu vizuri ila kuongea kafanya vizuri au yule mzuri kwenye kuendesha ila kutoa madini mdomini kashindwa?.
hapo aliyepata 40 tunaifanya 80 ili apite akalete maslahi kwa taifa na hakuna makosa kwenye hili. 😃
 
Back
Top Bottom