HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni kweli mkuu Ni nyakati ngumu sana za mpito, nina washkaji zangu wawili nao walitoswa na wenzi wao ila saivi wako vizuri kiuchumi na wake zao wapya, disapoit pia ni chanzo kizuri cha kukupush kwenye maendeleo kama itatokea usiwaze Mkuu mambo yatakaa tu
Nyakati ngumu Ndio hukupa mtu/watu sahihi.Ukiona Upo na mwanamke ana kucheat kipindi cha mpito ambacho huna Hela mkimbie mapema Sana.Wanawake wenye Upendo wa kweli wapo na wanajua maana ya uvumilivu.
 
Vijana wenzangu, kwanza poleni kwa maumivu ya kutokupata kazi. Mimi naomba niwafariji kwa kujizungumzia mimi mwenyewe. Nilimaliza chuo 2017. Baada ya hapo nikaanza kuomba kazi kama vijana wengine walivyokuwa wanafanya. Leo nilikuwa nafanya majumuisho ni kazi ngapi nimeomba utumishi na ngapi nimeitwa na zipi sijaitwa. Nimekuta toka 2018(2017 sikuomba kwa sababu vyeti vilikuwa bado) nimeomba jumla ya kazi mbalimbali kutoka utumishi 34. Katika hizo nimekuta 10 zinasoma not shortlisted kutokana na sababu mbali mbali hasa vyeti. Lakini kama mnakumbuka kipindi cha nyuma utumishi ulikuwa ukituma maombi inakuandikia received tu basi. Hivyo katika hizo received 7 sikuzifanyaga interview kwa sababu mbali mbali ikiwemo kutokuitwa kwenye usaili. Hivyo kazi ambazo nilizifanyia interview jumla ni 17. Katika hizo ukiacha ya TRA na MDA & LGA nilizofanya mwishoni mwa Dec 2022 na mwanzoni mwa January 2023 ina maana nimefanya interview 14 bila kwenda oral(hizi kuna ambazo nilikuwa nakosa marks 1 na kuna nyingine hadi 0.5. Nilikuwa naumia ila nasema kuwa wakati wangu bado. Imagine pepa 14 bila kuingia oral ila siku niliyoingia oral yangu ya kwanza ndo imekuja kuwa kazi yangu. Niwaombe vijana wenzangu tusikate tamaa tuendelee kupambana. Lakini pia vijana tunatakiwa tujue tunataka nini na nini matamanio yetu(hili ntalizungumzia post inayofuata)
 
tunakusoma afsa
 
Mkuu shukrani wewe swali la tell about yourself ulijibuje? Ascending or descending
 
They say this is a big, rich town
I just come from the poorest part
Bright lights, city life, I gotta make it
This is where it goes down
I just happen to come up hard
Legal or illegal, baby, I gotta make it
Mkuu naona saizi upo poa, unaflow ngeli, watakukoma hiyo kesho-kutwa.
 
Kuhusu kuwa na matamanio na malengo, nadhani hapa vijana wengi hatujui tunataka nini na tunataka kufanya kazi wapi ila wengi wetu wanataka wapate kazi tu. Nadhani hii dhana ya kutaka tu kazi inaondoa morali na hata maandalizi ila kama ukiweka nia ya dhati vipi hata ufeli vipi bado utanyanyuka na kuendelea kupambania. Mimi binafsi ndoto yangu imetimia kwa sababu wakati nipo Advance nilikuwa chairperson wa Tax club hivyo nilikuwa naenda sana kwenye ofisi zao na nilikuwa navutiwa sana. Chuo Nimesoma Mzumbe na kwa utaratibu mwaka wa tatu semister ya kwanza tunakuwaga field semister nzima. Nilifanyaga field yangu TRA kulingana na mazingira ya kazi na ushirikiano niliopata kutoka kwa wafanyakazi niliweka nia kuwa nitakuja kufanya kazi TRA haikuwa rahisi. Kwanza toka 2018 sikuwahi kupata nafasi ya kufanya interview za TRA. Nakumbuka 2018 niliomba kazi(zile ambazo zilifanyika uwanja wa taifa 2019). Nikaitwa kwenye nafasi ya account officer. Nakumbuka siku majina yametoka ndo nilikuwa nipo njiani naenda Dodoma kureport kwenye kibarua nilichokuwa nimepata hivyo nikashindwa kuifanya ile interview. 2019 niliomba tena ambapo interview yake ilifanyika 2020 (sikuitwa kwa sababu nilikuwa sijasaini barua). Nikaomba tena zile za 2020 (ambazo interview yake ilifanyika 2021). Hii interview nilikuwa shortlisted na kiukweli nilikuwa nimeipania sana na nilisoma sana (kwa kushirikiana na washikaji zangu ambao walitoka Dar wakaja kuweka kambi Dom). Tulikuwa tunaenda pale CBE kuanzia saa kumi na moja (baada ya mimi kutoka kibaruani na muda huo washikajj wameshapika magetoni) na kurudi saa sita usiku au saa saba. Pepa kwetu lilikuja poa kwa sababu karibia vitu vingi nilikuwa nimesoma (hasa custom). Bahati lile pepa likafutwa baada ya kuvuja. Nafasi zilipotangazwa tena nikaomba ila sikuwa shortlisted kwa sababu sikuwa nime certify vyeti vyangu(niliumia sana), majina ya walioitwa kazini mwaka jana yalivyotoka niliyaangalia nikasema na mimi nilistahili kuwepo humu ila sijachelewa. Walipotangaza tena nafasi nikaenda kucertify vyeti nikaomba. Majina yalivyotoka nipo shortlisted sikupata ugumu kusoma kwa sababu material nilikuwa nayo. Kutoka hapo kila kitu kwangu kimekuwa historia yenye kumshukuru na kumtukuza Mungu wangu mosi, kwa kunipa kazi, pili kwa kunipa kazi nayoipenda na niliyokuwa naitamani maishani mwangu. Kuna kipindi nilikuwa nikikosa marks chache za kunipeleka oral nilikuwaga najifariji kimoyo moyo kuwa labda ningeenda oral ningepata kazi ambayo siyo niliyokuwa naitamani [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa hiyo washikaji zangu wekeni nia wakati mnasubiri nia zenu kutimia endeleeni na majukumu mengine ya kujikimu kimaisha mpaka pale wakati wako utakapofika japo haimaniishi kila utakachokitilia nia ndo utapata unaweza kuwa umetilia nia kitu flani ila Mungu akawa anaona kuwa unatakiwa kupata zaidi ya hicho. Mungu hukupa unachostahiri. Ni vyema pale unachostahiri ndicho ulichokuwa unataka ila ni vyema zaidi pale Mungu wetu anapoamua kukupa zaidi ya kile ulichokuwa unataka.
 
Mkuu shukrani wewe swali la tell about yourself ulijibuje? Ascending or descending
Mkuu unaweza kuamini kuwa mimi kwenye upande wa education nilitaja chuo tu pamoja na experience niliyo nayo. Sababu ya kufanya hivi niliponzwa na You tube. Nilikuwa nafuatilia videos you tube kuhusu hilo swali na kuna video ya mzee mmoja anafuatiliwa sana alisema kuwa kuna tofauti kati ya tell us about your self and introduce your self. Nakumbuka alisema kuna moja (sikumbuki ni ipi kati ya hizo) inakutaka tu ujitambulishe shortly na kuna nyingine ndo inataka uende deep. Kuna sehemu pia pakasema kuwa kama unafanya interview katika private sector yakupasa uende deep kwa sababu wale jamaa ni performance oriented( yaani kabla ya kukuajiri watataka waone kwanza matokeo yako ya o level na jinsi ulivyo score kila somo) ila hiyo ni tofauti na public sector. Basi mimi nilibaki na notion hiyo na hata nilivyoulizwa nilistick tu na elimu ya chuo na experience. Japo huu mjadala wakati unaendelea humu ulikuwa unaniumiza sana maana nilikuwa najiona kama nimefeli japo nilipokuwa nikikumbuka yale maswali mengine nilivyoyajibu nilikuwa nafarijika.
 
They say this is a big, rich town
I just come from the poorest part
Bright lights, city life, I gotta make it
This is where it goes down
I just happen to come up hard
Legal or illegal, baby, I gotta make it
tutafika tuu,hata kwa kuchelewa . 50 cent aliimba "death has gotta easy coz life is hard" yaani kitaa ni balaa
 
Back
Top Bottom