Utumishi ni gundu,Rais ameongea kwa hisia sana leo kuhusu Utumishi🥺🥺
Share bas hiyo link tuoneRais ameongea kwa hisia sana leo kuhusu Utumishi🥺🥺
Mama namkubali sana ana jali watu kwa kila likaRaisi wetu ni mtu wawatu na anajali kila mtanzania Aishi maisha mazuri, ameona ajira portal haiwezi kumudu kufanya kaz vizuri ,due to factors nyingi.
So Raisi ikimpendeza aruhusu taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk, .
Hii itapunguza malalamiko ya vijana kucheleweshea kulamba asali
bora hata mashirika ya gavamenti,aiseeh cheki sekta binafsi mfano CRDB, na makampuni ya simu haloo kama sio mtu wa ukanda fulani hutoboi
Ya leo mkuu ilikuwa livePale Kuna hotuba nyingi Mzee.Hebu Sema hiyo ni ya lini??
Na pia weka link ya hiyo Hotuba nikatizame pia.
malalamiko anayapata ,PSRS ina changamoto sana kama yenyewe inadai mchakato ni process means inafuata taratibu zake iweje ishindwe kuweka taratibu kwa taasisi zinazoitaji wafanya kazi wapya. juu ya kureceive new members ina a certain period of time , hii hupelekea hata wasailiwa kupata wacwac na mashaka juu ya mchakato,,,,,,.Rais ameongea kwa hisia sana leo kuhusu Utumishi[emoji3064][emoji3064]
Yan akiachia mambo yarudi kama kipindi Cha jkMama namkubali sana ana jali watu kwa kila lika
Mpaka hapa ameupiga mwingi mama yetuYan akiachia mambo yarudi kama kipindi Cha jk
2025 tunambeba kwa mbeleko
Tatizo ni uadilifu wa hizo taasisi katika mchakato wa ajira , rushwa na nepotism Kwa mbongo ni kama pete na kidole , utumishi iko poa cha muhimu ni kujaribu kuleta mabadiliko kwa kuongeza ufanisi ,watu wakifanya interview ndani ya mwezi result zitoke na mtu aende kwa mwajiri wake kukamilisha ishu nyingine ,nadhani wakifanya hivyo mambo yatakuwa. Poa kabisa na vijana stress za status zitapotea humu .Raisi wetu ni mtu wawatu na anajali kila mtanzania Aishi maisha mazuri, ameona ajira portal haiwezi kumudu kufanya kaz vizuri ,due to factors nyingi.
So Raisi ikimpendeza aruhusu taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk, .
Hii itapunguza malalamiko ya vijana kucheleweshea kulamba asali
Watoe kwanza placement zilizopoYan akiachia mambo yarudi kama kipindi Cha jk
2025 tunambeba kwa mbeleko
Tumeshawachoka utumishi na urasimu wao, hatuna muda wakupoteza tena Yan.Tatizo ni uadilifu wa hizo taasisi katika mchakato wa ajira , rushwa na nepotism Kwa mbongo ni kama pete na kidole , utumishi iko poa cha muhimu ni kujaribu kuleta mabadiliko kwa kuongeza ufanisi ,watu wakifanya interview ndani ya mwezi result zitoke na mtu aende kwa mwajiri wake kukamilisha ishu nyingine ,nadhani wakifanya hivyo mambo yatakuwa. Poa kabisa na vijana stress za status zitapotea humu .
wewe utakua una connection inaonekata umekandwa sana na psrs , sasa unataka kutumia connection kulamba asali. utumishi waendelee kusimamia ajira ili watoto wamaskini ambao hawana connection waweze pata ajira.Ajira portal ni urasimu mbaya sana,
Raisi wetu kipenzi tunakuomba ipige pouse hii taasisi, utafurahi 2025
nimekwambia wabunge wameongelea bungeni ,kulikoni mzee baba elewa statementUna takwimu kuonyesha wanaoajiriwa wengi wa mikoa hiyo?
Not selected inakutesa sana mkuu inaelekea 🤣Utumishi ni gundu,
Raisi piga pouse Kiana kwenye hii taasisi, watoto wetu walambe asali mbichi. Utafurahi 2025
Replacement zinakaa nusu mwaka huu si uzwazwa.
Ni ngumu kurudi huko wengi wape mzeeReplacement zinakaa nusu mwaka huu si uzwazwa.
Turudi kama zamani TU Kila mtu a fight kivyake
Yeah binadamu ni kiumbe mbinafsi sana! Tusikubli kurudi nyuma mbpo tasisi zilipewa uwezo wa kuajiri wenyewe. Sekritariati iachane na ukiritimba, kama ni rasilimali watu iajiri m sure wanao wengi tu kwa database