Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,983
- 11,795
Brazil ni koloni la Ureno asilimia kubwa ya watu wake ni wahamiaji wa kireno,hadi lugha ya taifa ya Brazil ni Kireno.
Kwahiyo Ronaldo na Marcelo wanaongea tu lugha moja hakuna kukwama?
Brazil ni koloni la Ureno asilimia kubwa ya watu wake ni wahamiaji wa kireno,hadi lugha ya taifa ya Brazil ni Kireno.
Bila shaka.Kwahiyo Ronaldo na Marcelo wanaongea tu lugha moja hakuna kukwama?
Yan nlikua cjui kumbe humu jf kuna jamaa wanapewa nyota nasalute mmmhha hahaa "" Aisee..
Ugiriki ya kale ilichukua elimu kutoka Misri ya kale na baadae kuenda kuivamia na kuitawala kupitia Alexander the great.Hatulingan bro kuna nchi IQ zao nikubwa kuzid zingine we unazan kile kizaz cha ugirik chakina plato na sacrotes ndo chasaivi
Ghana na Naijeria naweza kubali ila huko Mali,Siera leone n k naweza bishaNadhani West africans kwa ujumla wapo some kilometers ahead of East Africans
I dont know how practically this stuff is but historically we are said to be backward tèchnologically compared to our western african brothers.Wao nao wanasema sisi ndio tuko mbele na tuna akili hata wanaoa sana wanawake wetu.
Naam uko vizur yan ile sayansi ya misri ilikua far sana enzi zile hivi christopher columbus alogundua new land alikua mreno au mwingerezaUgiriki ya kale ilichukua elimu kutoka Misri ya kale na baadae kuenda kuivamia na kuitawala kupitia Alexander the great.
Alikuwa mtaliani.Naam uko vizur yan ile sayansi ya misri ilikua far sana enzi zile hivi christopher columbus alogundua new land alikua mreno au mwingereza
Ghana na Naijeria naweza kubali ila huko Mali,Siera leone n k naweza bisha
Source?!historically we are said to be backward
Unachanganya na Liberia.Siera leone wale ni freed slaves. walishavurugwa tayari.
Upo sahihi mkuuUnachanganya na Liberia.
Ni kweli kabisa. Ila huenda sisi tulikuwa jamii dhaifu tukakimbizwa tuje huku.Alafu kumbuka hata sisi wabantu tumetokea huko huko west africa..
Sierra Lione au Milima ya Simba ni jina lililotolewa na mreno Pedro de Sintra mwaka 1462 baadae likajakuwa koloni la muingereza lakini jina likabaki lilelile.Upo sahihi mkuu
Mkuu hapa sijakuelewa embu fafanua vizurlaana ya mababu zetu,hawa watu wanatabia za kupe. Japo Ronaldo peke yake anaweza kuilisha portugal kwa miaka 10
Ila jua west africa ukitoa Nigeria na ghana kidogo hakuna nchi ya kutishia huku east africa.Ni kweli kabisa. Ila huenda sisi tulikuwa jamii dhaifu tukakimbizwa tuje huku.
Ukiangalia movie za kinigeria utaona matendo yao ni copy kama watanzania.