Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Ais
watu wakisema Ureno ni masikini wana compare na watu kama USA, UK, France etc ila compare na sisi wala sio wenzetu wale.

hizi ni data za pato la mtu mmoja mmoja toka benki ya dunia
-GDP per capita ya Tanzania dola 879
-GDP per capita ya Ureno ni dola 19,813

hivyo unaona utajiri wa mtu mmoja mmoja ni zaidi ya mara 20 ya Tanzania, gape ni kubwa sana. Tuangalie nchi tajiri za kiAfrica.

-south Africa ni dola 5273
-Egpty ni dola 3514
-Nigeria ni 2178

hivyo hata nchi tajiri za ki Africa hazina hata nusu ya uwezo wa kifedha wa mtu mmoja mmoja wa ureno.

tuangalie Nchi tajiri za ulaya
-Uk gdp per capita ni 39,900 usd
-Norway ni 70,812 usd
-france ni 36,854 usd
-italy ni 30,527 usd

hivyo ukiangalia mabwa wakubwa wengine utaona portugal ni masikini compare na nchi kubwa za ulaya.
Aisee hii ngoja nitulie kumbe ureno they are far better than us naacha kuwadharau sasa

Maana ureno mpk Leo kuna mahali wanafuga kuku kienyeji kama maeneo mengi ya Tanzania kumbe nakosea kuwachukulia poa
 
Tafuta kitabu cha Max Weber cha "The Protestant Ethic and The Spirit of Capitalism".

Kimejaribu kuelezea suala hili.

The Protestant Ethic and the Spirit of Capitalism - Wikipedia

The Protestant Ethic and the Spirit of Capitalism
From Wikipedia, the free encyclopedia

The Protestant Ethic and the Spirit of Capitalism

Cover of the German edition from 1934
Author Max Weber
Original title Die protestantische Ethik und der Geist des Kapitalismus
Country Germany
Language German
Genre Economic sociology
Publication date
1905
The Protestant Ethic and the Spirit of Capitalism (German: Die protestantische Ethik und der Geist des Kapitalismus) is a book written by Max Weber, a German sociologist, economist, and politician. Begun as a series of essays, the original German text was composed in 1904 and 1905, and was translated into English for the first time by American sociologist Talcott Parsons in 1930.[1] It is considered a founding text in economic sociology and sociology in general.

In the book, Weber wrote that capitalism in Northern Europe evolved when the Protestant (particularly Calvinist) ethic influenced large numbers of people to engage in work in the secular world, developing their own enterprises and engaging in trade and the accumulation of wealth for investment. In other words, the Protestant work ethic was an important force behind the unplanned and uncoordinated emergence of modern capitalism.[2] In his book, apart from Calvinists, Weber also discusses Lutherans (especially Pietists, but also notes differences between traditional Lutherans and Calvinists), Methodists, Baptists, Quakers, and Moravians (specifically referring to the Herrnhut-based community under Count von Zinzendorf's spiritual lead).

In 1998, the International Sociological Association listed this work as the fourth most important sociological book of the 20th century.[3] It is the 8th most cited book in the social sciences published before 1950.[4]
 
watu wakisema Ureno ni masikini wana compare na watu kama USA, UK, France etc ila compare na sisi wala sio wenzetu wale.

hizi ni data za pato la mtu mmoja mmoja toka benki ya dunia
-GDP per capita ya Tanzania dola 879
-GDP per capita ya Ureno ni dola 19,813

hivyo unaona utajiri wa mtu mmoja mmoja ni zaidi ya mara 20 ya Tanzania, gape ni kubwa sana. Tuangalie nchi tajiri za kiAfrica.

-south Africa ni dola 5273
-Egpty ni dola 3514
-Nigeria ni 2178

hivyo hata nchi tajiri za ki Africa hazina hata nusu ya uwezo wa kifedha wa mtu mmoja mmoja wa ureno.

tuangalie Nchi tajiri za ulaya
-Uk gdp per capita ni 39,900 usd
-Norway ni 70,812 usd
-france ni 36,854 usd
-italy ni 30,527 usd

hivyo ukiangalia mabwa wakubwa wengine utaona portugal ni masikini compare na nchi kubwa za ulaya.
kwamba Norweigians wako juu ya British
 
Ni masikini tangu lini?.
Au umeichanganya na Greece.?

Anyway,hiyo imani ya ureno kuwa masikini ni ya miaka ya 90,
ilikuwa kama njia ya kuwaponda wareno kipindi wanatawala msumbiji.
Wakati export ya israel kwa mwaka 2017 ni USD bilion 60,

wao ureno waliexpoirt bilion 70 usd.

Gdp ya ureno dola bilion 310 inaiweka ureno miongoni mwa developed countries
 
Ais

Aisee hii ngoja nitulie kumbe ureno they are far better than us naacha kuwadharau sasa

Maana ureno mpk Leo kuna mahali wanafuga kuku kienyeji kama maeneo mengi ya Tanzania kumbe nakosea kuwachukulia poa
ukichukua pato letu ukalizidisha kwa change ya dola na kugawanya kwa 365 utaona average pato la mtanzania ni kama shilingi 6,000 kwa siku. hivyo mtu anaeuza kuku mmoja wa kienyeji kwa siku huyo yupo above average, ana hela kushinda mtu wa kawaida.
 
Ni masikini tangu lini?.
Au umeichanganya na Greece.?

Anyway,hiyo imani ya ureno kuwa masikini ni ya miaka ya 90,
ilikuwa kama njia ya kuwaponda wareno kipindi wanatawala msumbiji.
Wakati export ya israel kwa mwaka 2017 ni USD bilion 60,

wao ureno waliexpoirt bilion 70 usd.

Gdp ya ureno dola bilion 310 inaiweka ureno miongoni mwa developed countries
Mh developed country ureno serious?
 
Back
Top Bottom