Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

watu wakisema Ureno ni masikini wana compare na watu kama USA, UK, France etc ila compare na sisi wala sio wenzetu wale.

hizi ni data za pato la mtu mmoja mmoja toka benki ya dunia
-GDP per capita ya Tanzania dola 879
-GDP per capita ya Ureno ni dola 19,813

hivyo unaona utajiri wa mtu mmoja mmoja ni zaidi ya mara 20 ya Tanzania, gape ni kubwa sana. Tuangalie nchi tajiri za kiAfrica.

-south Africa ni dola 5273
-Egpty ni dola 3514
-Nigeria ni 2178

hivyo hata nchi tajiri za ki Africa hazina hata nusu ya uwezo wa kifedha wa mtu mmoja mmoja wa ureno.

tuangalie Nchi tajiri za ulaya
-Uk gdp per capita ni 39,900 usd
-Norway ni 70,812 usd
-france ni 36,854 usd
-italy ni 30,527 usd

hivyo ukiangalia mabwa wakubwa wengine utaona portugal ni masikini compare na nchi kubwa za ulaya.
Norway noma sana, ndo maana wanafuraha.
 
Wareno kipigo walichopokea katika mwambao wa wa Afrika ya Mashariki kilikuwa ni kitakatifu.
 
Unaongelea Ureno ya kwenye history au hii ya sasa hivi ya kwenye history ndo tulisoma lilikuwa taifa maskini lililopelekea nchi nyingi kutumia mtutu kuwaondoa kwa sababu hawakutaka kuwapa uhuru walitaka kuwanyonya ili wajitajirishe
 
Hivi zile vijisent vya chenge si vinaweza kuilisha Portugal hata miaka 4??!!
 
Back
Top Bottom