Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaa kazi kwetu walahi! yabidi wanawake wa humu wawe makini sana.
Sanaaa!sasa hivi kuna PM nyingi nazikwepa haswaa mpyaa Mara chache haswaa!
Maana heee!hii Kali jamani!sijibu PM maana ndo vinaanziaga huko huko
 
Sisi wenyewe tunazingua lakini. Kwanini umdanganye mtu
Kuna uongo mwingine ni wakipuuzi kama huo wakujifanya mwanasheria sijui mara wakishua kumbe mwenzangu na mie hapa.. Still haijustfy kuja kuyamwaga ya mwenzie humu.. angemcha huko huko walipokutana wamalizane kivyao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hayo ya mama wawili na divorced nayajua lakini haiondoi ukweli kwamba upstairs yako iko vizuri G.
Hahaahaaa!!ahsante kakaa!
Nashukuru kwa sifa hizooo!

Miongoni mwa wakaka wastaaarabu humu ndani nawe umoo 100%
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu achana tu na huyo mtu,msamehe tu,huo mkasa pia ulinipata ndo hivo hivo mambo ya sheria kila siku anasema yupo na kesi,mara yupo na mawakili,ila sidhani kama ndo huyo,naona kama utapeli flani,kukufuata yupo tayari,kumfuata atasema ana safari mkoani kwenye kesi,nikamwambia hapa tulipofikia inatosha,alipoona sipokei tena simu zake akawa ananichatisha kwa namba ngeni akijifanya nachat na kaka yake[emoji3]
 
Pole mkuu.inaonekana uliingia kwa kutumia msuli mkubwa kumbe yeye ndiye alikuwa anakuwinda.

No sawa na yule msela aliyepigwa kilo na demu kwa game ya usiku mmoja halafu kesho yake akamuona yuleyule demu kapanga foleni barabarani kujiuza tena kwa elf 15 tu.
 
Back
Top Bottom