Mkuu,pole sana.But, how can we trust you?
Anyway, kama nawe uliingia kwenye mahusiano kwa sababu ya kazi ya mwenza wako,family economic stability ya mwenza wako, to me naona nawe uliteleza tena siyo padogo bali kuteleza kukubwa sana.
Why? Ni kwa sababu ulihitaji uweke vigezo vya msingi zaidi kuliko hivyo.
Kwa mdada, nae ameonesha dhahiri she had no true love to the guy...hali hii siyo ya kuchekewa as far as ukweli,uaminifu,uadilifu humfanya mtu kuwa huru kwa mwenza wake kuliko hivi ilivyotokea kwenu.
All ni all, kama ni ukweli nakushauri mkuu ukiamua kuyajenga, nenda kwa wazazi wake mkayajenge na uamue kumsamehe.Vinginevyo, kama umeamua kushukuru na kuendelea na maisha, nakutakia kila la kheri katika safari yako mpya.Sahau yaliyopita uendelee na maisha kwa amani zaidi.