Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Yaan inabidi uwe bonge la mwigizaji yaan na usisahau chochote kwenye uigizaji wako la sivyo utaumbuka vibaya sanaHakuna kitu kigumu kama kuishi kwenye uongo.
Yaan inabidi uwe bonge la mwigizaji yaan na usisahau chochote kwenye uigizaji wako la sivyo utaumbuka vibaya sanaHakuna kitu kigumu kama kuishi kwenye uongo.
Haki ya Mungu mi siwezi. Yani ningeshtukiwa tuYaan inabidi uwe bonge la mwigizaji yaan na usisahau chochote kwenye uigizaji wako la sivyo utaumbuka vibaya sana
Ndio hivyo unakuja kuumbuka badae kwa nn udanganye jamaniSometimes uongo una save sema huwa hamfikisha mtu mbali.
Sometimes utoto nao unachangia.Danganya kidogo. Uongo wa huyo dada ulivuka kiwango
Unadanganya kama huna malengo ya mbali na mtu mwenyewNdio hivyo unakuja kuumbuka badae kwa nn udanganye jamani
Eti tasnia ya kiumeLabda tasnia ya huko kwao![]()
Nakazia shemSometimes utoto nao unachangia.
Hata kama huna malengo na mtu hamna haja ya kudanganya jamani mambo mengine hazisaidiiUnadanganya kama huna malengo ya mbali na mtu mwenyew
Nagongelea msumari mwingine hapo hapo.Nakazia shem
Sisi watu wa echijielo tulifundshwa kwamba lugha inakua.Eti tasnia ya kiume
Hahahaha
Yaan nimecheka ile mbaya



AaahSisi watu wa echijielo tulifundshwa kwamba lugha inakua.
labda lugha yetu sasa imefikia wakat wa kubalehe ndio tunapata tafsiri mpya kama hizo![]()
na echikeieloUkisikia kujiongeza ndio hukoAaah
Hata siye wa echijikeina echikeielo
Tulifundishwa hvo hivoo.
Labda jamaa kaji update tayari





Mkuu achana tu na huyo mtu,msamehe tu,huo mkasa pia ulinipata ndo hivo hivo mambo ya sheria kila siku anasema yupo na kesi,mara yupo na mawakili,ila sidhani kama ndo huyo,naona kama utapeli flani,kukufuata yupo tayari,kumfuata atasema ana safari mkoani kwenye kesi,nikamwambia hapa tulipofikia inatosha,alipoona sipokei tena simu zake akawa ananichatisha kwa namba ngeni akijifanya nachat na kaka yake![]()