
Tutakoma haki ya mama loooh!!Kasema yumo humu Kisukari.
Tutakoma haki ya mama loooh!!
Binadamu Mimi kaka nina mapungufu yangu pia!Mie nakuaminia uko vizuri hunaga ujinga ujinga.
Unavituko sana Numbisa wetu
Yaani km wanatuwindaa looh!Siku hizi humu kuna mambo ya ajabu ajabu mno.. muongee huko mlikokuta uje ututangazie humu mfyuu.
Binadamu Mimi kaka nina mapungufu yangu pia!
Kuna muda ukinitaiti nashusha silaha chini!hahahaaaaa
Yaap!kuna vingine vingi nashukuru navikwepa!Lol! Hahahahaha But not to that EXTENT G
Yaani km wanatuwindaa looh!
Wanatatuta sababu watusanuee







khaaaaaa kazi kwetu walahi! yabidi wanawake wa humu tuwe makini sana.Hahahahahaa. We kapambane irudi![]()
![]()
![]()
![]()
Asha zoea kila anaye lala mika ni dada
Asee leo mmenivunjia ndoaa nita deal na nyinyi wote!![]()
Kujikubali raha sana.Yaap!kuna vingine vingi nashukuru navikwepa!
Ila kujifanya wa kisshua while wa uswazi huku!
Mwanasheria wakati madam chaki!
Mama wawili+mhenga(divorced )
Hahaaaaa
Sisi wenyewe tunazingua lakini. Kwanini umdanganye mtukhaaaaaa kazi kwetu walahi! yabidi wanawake wa humu wawe makini sana.