Wanasema A good lier should have a good memory.. yaan ukiwa muonge basi unatakiwa uwe na kumbukumbu nzuri..
Binafsi sipendi mtu muongo muongo especially kwenye mahusiano..
Hakuna point yoyote ya kumdanganya mpenz wako vitu ambavyo viko wazi..
Wakati tunajuana as friends umenidanganya wewe ni mwanasheria.. bahati nzur unajua kujielezea and u speek good english na mambo mengine..
Ukanidanganya upo single like boyfriend wako alikucheat na rafiki yako ukaamua kum dump..
Ukaniambia mambo mengi kuhusu familia yako na rafiki zako mambo ambayo unapenda na usiyopenda kufanyiwa..
Ukaniambia kwenu mpo vizur hela si tatizo kwamba we ndio kipenz cha baba.. useme nini usipewe!!?
Ukaniambia uko very senstive ukiwa kwenye mahusiano like wivu na vyote ambavyo vinaweza kuhatarisha mahusiano yako..
Kwa muonekano wako mzuri na unavyojiweka poa u can atract any guy ambaye atakuja njia yako..
Cha ajabu sasa ni kwamba sasa hivi nimekuzoea sana.. ni zaidi ya rafik kwako..
Nilifanikiwa kukushawishi ili tuwe wapenzi..ukakubali kwa masharti.. like unataka open relationship, hautaki mimi niwe karibu na marafik wa kike..nk
Lakin sasa baada ya kukufahamu sana nimegundua wewe sio mwanasheria, kwenu hamko vizur kama ulivyojinadi na ndio maana kila ninapofunga safari kuja kwenu unajitahid unipokee mbali like uje mpaka barabarani ili tu nisifike kwenu tuishie huko huko juu kwa juu au utafute sehemu karibu na kwenu tupige story then nisepe..
Nimekuja kugundua unapenda sana ngono na haupo single kama ulivyoniambia..
Una mahusiano na watu tofauti na uwongo wako mkubwa wewe ni mwanasheria.. kuna wahindi unatembea nao kwa gia ya uanasheria, ma black..
Unapenda kutoka na kupewa offer offer kama mshamba..
Mtu umejuana na siku chache unaanza kumpiga mizinga, mara nna hamu na kuku, mara niongezee hela nitoke out, mara m broke bado cjalipwa kazin..
Dada shida zote za nn hizo!??
Kwani uwongo unakusaidia nini!?? Utawadanganya wangapi!??
Sasa hivi naku ignore unaniuliza tatizo nini mbona nakutenga!? Sina time na wewe!? Sikutafuti kama zamani, nk..
Well, mi nataka wewe mwenyewe ujue tatizo nini!!!
Nataka ujifunze kuishi na watu na usimfanye kila mtu anataka akuchezee akupe bata akuvue chupi muendelee kudanganyana,
Bidada umri unakwenda,, utatoa mimba ngapi!?? Utawavulia chupi wangap!??
Wanasema truth will set u free.. yaan ukweli utakuweka huru..
Vyuma vimekaza so hakuna mtu ambae atakupa hela kila siku kila cku.. itafikia time watu watakuchoka kama nilivyokuchoka mimi..
By the way cna tena imani na wewe i dont trust u no more.. nimejaribu kukuelezea zaid ya mara moja kuhusu uwongo wako but nimegundua ni tabia yako u cant change..
Basi sasa nmeamua kutupa jiwe gizani najua litakupata unless usipite huku..au kama sio wewe kuna wenzako litawapata wenye tabia kama zako..
No man is an island..
View attachment 744103