Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
- Thread starter
- #61
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa itabidi ujue anakoishi shostiMiss you too....
Kuelekea Valentine ntakutafuta 😀
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa itabidi ujue anakoishi shostiMiss you too....
Kuelekea Valentine ntakutafuta 😀
Atashtukia tu nipo mlangoni 😀hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa itabidi ujue anakoishi shosti
hahaaaaa itabidi umfanyie surprise ya nguvu halafu uniite nami nioneAtashtukia tu nipo mlangoni 😀
1.Kwann huwa mnahisi kuonewa?Habarini wadau wa jf natumai mko fiti mnapambana na hali zenu za kusaka tonge la maisha leo nimewakumbuka sana na kuonelea kuwa letea mada isemayo: Kwanini ung'atwe ovyo
Ilihali una miguu ya kusepa chanja mbuga achana nae kwani ni huyo tu uliyeandikiwa nae kufa na kuzikana shosti usikalie kuti kavu ilihali una mwelekeo wa kusepa achana nae songa kivyako maisha popote mtu anakusumbua wewe bado eti kisa mapenzi kwani ulizaliwa nae.
Achana nae Mungu atakupa mwingine wa kufanana nae wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka utapata mwingine ambaye atakulea na ku handle maisha ni furaha sio karaha jifunze kuondoka kwani yeye ataona baadaye umuhimu wako
Najua mmeshapata somo hapa nawatakia kila kheri
kwaherini
mil 22 itapendezahahaaaaa itabidi umfanyie surprise ya nguvu halafu uniite nami nione
ikiwezekana mwambie akupeleke Hyatt hotel siku hiyo 😀😀😀
Umenena, linapotokea tatizo wengi wetu huwa hatuzungumzi na muhusika badala yake unaenda kumuelezea mtu baki ukitegemea utapata suluhisho. Unaempelekea nae anayake yanamshinda kwa hiyo kupata ulichokuwa unatarajia ni vigumu utachapa lapa kwa wangapi?Mmh hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.
Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Umempa somo zuri sana, kama anajielewa huu ushauri utamsaidia sana.Mmh hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.
Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Huenda mtoa uzi ni mdangaji mkuu, hajui ustawi wa familiaMmh hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.
Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Well said mkuuSisi tuna mapungufu, wenzi wanamapugufu... Tuvumiliane kadri ya uwezo.
Ushauri wa kiboya kama huu mpe boya mwenzio Joyce Kiria.Habarini wadau wa jf natumai mko fiti mnapambana na hali zenu za kusaka tonge la maisha leo nimewakumbuka sana na kuonelea kuwa letea mada isemayo: Kwanini ung'atwe ovyo
Ilihali una miguu ya kusepa chanja mbuga achana nae kwani ni huyo tu uliyeandikiwa nae kufa na kuzikana shosti usikalie kuti kavu ilihali una mwelekeo wa kusepa achana nae songa kivyako maisha popote mtu anakusumbua wewe bado eti kisa mapenzi kwani ulizaliwa nae.
Achana nae Mungu atakupa mwingine wa kufanana nae wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka utapata mwingine ambaye atakulea na ku handle maisha ni furaha sio karaha jifunze kuondoka kwani yeye ataona baadaye umuhimu wako
Najua mmeshapata somo hapa nawatakia kila kheri
kwaherini
Mkuu umenena vyema kabisaAmin amin nakwambia aliyekupata/atakaye kupata atakuwa mwenye bahati kubwa.
linywe hilo au lishakupalia 😀😀😀😀Ushauri wa kiboya kama huu mpe boya mwenzio Joyce Kiria.
Na hilo ndio huwa ni kosa sababu kuna tabia nyingine unaweza kuta mtu anazo ila hata hajui kama zinakera na kuudhi, na wapo watu ambao wako hivyo sikuzote ila ikitokea yakawepo mazungumzo lazima atajua hapa nakosea na solution ni hii. Baasi.Umenena, linapotokea tatizo wengi wetu huwa hatuzungumzi na muhusika badala yake unaenda kumuelezea mtu baki ukitegemea utapata suluhisho. Unaempelekea nae anayake yanamshinda kwa hiyo kupata ulichokuwa unatarajia ni vigumu utachapa lapa kwa wangapi?
Nami nina imani pia Mkuu.Umempa somo zuri sana, kama anajielewa huu ushauri utamsaidia sana.
Huwa nakuelewa sana kwa ushauri wako, uko constructive sana mrembo.Nami nina imani pia Mkuu.
Hahahaaa. Na kweli hivyo anatafuta wa kumfuata nyuma kwa ushauri wa kupotosha.Huenda mtoa uzi ni mdangaji mkuu, hajui ustawi wa familia
yaani wewe unawazaga kama mimi.Maisha ni haya haya unayoishi sasahivi jamani furahia to the fullest maana hatujui huko baada ya kufa nini kinaendela mf.ukienda mbinguni hujui utakuta nini kinaendelea.Kwa hiyo my friend enjoy the life sasa hivi changamoto zipo lakini zisikufanye ukashindwa kuenjoy.ISHI MAISHA MPAKA MUNGU MWENYEWE AFURAHIE UUMBAJI WAKE.Maisha ni bonge la adventure, msiyabughudhi tukakosa uhondo
Ahsante sana Mkuu.Huwa nakuelewa sana kwa ushauri wako, uko constructive sana mrembo.

Very few women understand this concept,you are always a wise woman,big up...Mmh hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.
Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.