Kwanini ung'atwe ovyo!!

Kwanini ung'atwe ovyo!!

Wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka
utapata mwingine
ambaye atakulea nakukuhendo maisha ni furaha sio karaha.

Uwe na consistency unapotoa nasaha zako!
ok mkuu
 
Mmh. Hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako. Ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.

Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
shosti utamvumilia mpaka mwishoe itabidi usepe maaana wengine wanakerekesha atii hujui tu
 
Naona unajustify tabia yako ya kuachikaachika. Baki nayo usiwaambukize wengine
 
Sema nini, sometimes kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
yeah mwambie labda anahisi kusepa ni jambo rahisi kwa kitu ulichokiweka moyoni watu wanavumilia maumivu mwisho wa siku mungu anaweka rehema zake hatimaye unaipata furaha ya kudumu.
 
Hayajakukuta tu mama na wengi mnaosemaga hivi mnakamatwaga na maboya kweli yaani
 
Single mama katika kiwango cha juu kabisa akijifariji na bado utakoma wewe alokwambia ukammanulie miguu mume wa mtu ninani pambana na hali yako!
 
Mmh. Hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako. Ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.

Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Wewe ni mwanamke bora kabisa.

Mke bora na mama mzuri

Ana heri mwanaume aliye/atakaye kuoa.
 
Uvumilivu is highly essential kabisa kabisa gete gete
 
Habarini wadau wa jf

Wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka
utapata mwingine ambaye atakulea nakukuhendo maisha ni furaha sio karaha.
jifunze kuondoka kwani yeye ataona baadaye umuhimu wako

Najua mmeshapata somo hapa nawatakia kila kheri

kwaherini
Hii inaonesha si wote wasioeleweka.
 
Mmh. Hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako. Ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.

Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Inapendeza kuona wanawake wenye mtazamao kama wako bado wapo
 
Ndo mnavyo danganyanaga sio?

Sikatai kuna wanaume hawafai hasa manake kutwa utalia.

Lakini kuna wanaume ambao wanarekebishika, na kubadilika kabisa and they turn out to be awesome husbands and Dads.

I wish ungewapa limits wenzio na kuwapa moyo wawe wavumilivu kwa sababu hamna mwanamme aliekamilika na sisi pia hatujakamilika.

Tufundishane, tuelekezane na tuvumiliane. Sio kosa dogo tu unasepa na hapo ushatumika. Ndo utasikia mwingine anaibuka na kusema oooh sitaki mwanaume bora mwanamke mwenzangu, mara oooh naweka dildo yangu chumbani.

Wanaanzaga hivi hivi.
Hahahahah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom