Ndo mnavyo danganyanaga sio?
Sikatai kuna wanaume hawafai hasa manake kutwa utalia.
Lakini kuna wanaume ambao wanarekebishika, na kubadilika kabisa and they turn out to be awesome husbands and Dads.
I wish ungewapa limits wenzio na kuwapa moyo wawe wavumilivu kwa sababu hamna mwanamme aliekamilika na sisi pia hatujakamilika.
Tufundishane, tuelekezane na tuvumiliane. Sio kosa dogo tu unasepa na hapo ushatumika. Ndo utasikia mwingine anaibuka na kusema oooh sitaki mwanaume bora mwanamke mwenzangu, mara oooh naweka dildo yangu chumbani.
Wanaanzaga hivi hivi.