Kwanini ung'atwe ovyo!!

Kwanini ung'atwe ovyo!!

labda uwajulishe wenzio watamjuaje waliyoandikiwa kuwa nao wa kufa na kuzikana
 
Tone yako inaonyesha kushindwa, mtu aliyeshindwa anatamani kila mtu ashindwe ili wakishindwa wote wapongezane na kupeana moyo.
 
Habarini wadau wa jf natumai mko fiti mnapambana na hali zenu za kusaka tonge la maisha leo nimewakumbuka sana na kuonelea kuwa letea mada isemayo: Kwanini ung'atwe ovyo

Ilihali una miguu ya kusepa chanja mbuga achana nae kwani ni huyo tu uliyeandikiwa nae kufa na kuzikana shosti usikalie kuti kavu ilihali una mwelekeo wa kusepa achana nae songa kivyako maisha popote mtu anakusumbua wewe bado eti kisa mapenzi kwani ulizaliwa nae.

Achana nae Mungu atakupa mwingine wa kufanana nae wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka utapata mwingine ambaye atakulea na ku handle maisha ni furaha sio karaha jifunze kuondoka kwani yeye ataona baadaye umuhimu wako

Najua mmeshapata somo hapa nawatakia kila kheri

kwaherini
ukiondoka nachukua mwingine shida IPO wapi
 
ndo mana kwenye ndoa mnapewa cheti kwanza,,

walijua kuna kung'atwa pia
 
Wewe utakuwa Unatuonea Wivu Mimi na Evelyn Salt...Tangu lini Binadamu Tukabaguana?tena Kwenye Jukwaa hili?
Sidhani kama utafanikiwa...
hahahaaaaaa sikuonei wivu jamani samahani shosti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom