Kwanini unatumia uongo kumpata mpenzi?

Kwanini unatumia uongo kumpata mpenzi?

Muache tu aione hii thread, atajifunza kuwa uongo sio dili hasa unapodanganya kwenye mambo ya muhimu

tena uongo unakufanya uishi maisha magumu sana...chukulia umemuongopea msichana kuwa una kazi ya maana kumbe hata kibarua huna....na mwenzio ameshajua una kazi lazima akuombe misaada midogo midogo ambayo kwa mtu mwenye kazi, haimshindi...lakini kwa kuwa uliongopa kuwa unayo wakati huna..itakulazimu ukope au uibe ili uendane na uongo wako...mambo ambayo ni hatari..sana...
 
Ukitumia uongo basi utampata msichana kirahisi lakini mahusiano either yatakuwa ya kiuongo uongo na uenda yasidumu baada ya ukweli kujulikana.
Ukitumia ukweli itakuwa ngumu kumpata lakini mahusiano yatadumu kwenye ukweli na kuvumiliana uenda kukawepo.
 
hapo umenena....ndugu..
 
Kweli kabisa mi nikishagundua mtu mwongo mwongo huwa naona hata mapenzi yatakuwa ya uwongo uwongo....nampotezea fasta
 
Salaam wakuu

Nimekuwa nikishuhudia mahusiano mengi yakivunjika na hata ndoa zimekuwa na migogoro kama sio kuvunjika kabisa.

Lakini ukija kuchunguza kwa umakini unakuta mzizi wa yote ni uongo tu mmoja kati ya wapendanao alikuwa anamuongopea mwenzie.
Huwa najiuliza inakuwaje mtu ambae unampenda na una malengo nae ya muda mrefu kwanini unatumia uongo kumpata, kwanini usimwambie ukweli kuhusu wewe ili mwenyewe achambue mbivu na mbichi.

UKWELI HUKUWEKA HURU.

Ladies were born to be lied!!!
 
Hahaha...siku moja akaniambia mwezi ujao nasafiri naenda US.....siku nyingine tupo wote akampigia mtu 'aisee samahani bwana nimesahau passport yangu hapo kwako namtuma dogo aje aichukue' siku nyingine akajifanya amekosea eti kutuma meseji eti 'samahani bro nimeacha passport yangu hapo ofisini naomba uniwekee vizuri kesho ntawahi niichukue naenda ubalozini' Mwanzoni nilikuwa sielewi kama mtu mzima mwenye 30+ anaweza kufanya utoto wa namna hiyo nimekuja kuelewa baadae sana. Nashangaa mpaka leo namuona tu natamani kumuuliza safari yake iliishia wapi asije akaona namfuatilia bure

Mbavu zangu mimi hahahahhahahahahahahaaha. Jitu zima linajifanya kutuma sms kwa kukosea ili likudanganye mweee, mmmh uongo mbaya jamani
 
Mbavu zangu mimi hahahahhahahahahahahaaha. Jitu zima linajifanya kutuma sms kwa kukosea ili likudanganye mweee, mmmh uongo mbaya jamani

Hahahaaa yani hovyooo....kuna vingine alikuwa anajisifia aibu hata kusema
 
Hahahaaa yani hovyooo....kuna vingine alikuwa anajisifia aibu hata kusema

Hahahaha bora tu usiseme shoga. Ulimbukeni mbaya sana. Me huwa nakereka kukaaa na jitu liongo coz huwa najiuliza hivi huyu kaniona me boya sana hadi anidanganye au ni vipi? Afu unakuta mambo anayojisifia ni ya kijinga mno eeeeh
 
Umeisoma vizuri mada?

nimeisoma vzr sana na imeielewa ndo maana nimetoa sababu mojawapo....nilimaanisha kwamba mahusiano mengi ya siku hizi yapo after sex ..labda nikisema hivyo utanielewa.
 
Salaam wakuu

Nimekuwa nikishuhudia mahusiano mengi yakivunjika na hata ndoa zimekuwa na migogoro kama sio kuvunjika kabisa.

Lakini ukija kuchunguza kwa umakini unakuta mzizi wa yote ni uongo tu mmoja kati ya wapendanao alikuwa anamuongopea mwenzie.
Huwa najiuliza inakuwaje mtu ambae unampenda na una malengo nae ya muda mrefu kwanini unatumia uongo kumpata, kwanini usimwambie ukweli kuhusu wewe ili mwenyewe achambue mbivu na mbichi.

UKWELI HUKUWEKA HURU.

Ahhh mwanamke ukimwambia ukweli lazima atakuzingua.. Kuna vitu lazima umwongopee
 
Kuna watu ukiwaambia ukweli unaharibu bora kuwadanganya tu....
 
Uongo ni kitu kibaya sana! Kama unafanya acha!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom